Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rev. Kishoka
Nimesoma post yako nimekuelewa lakini sitaki kuamini kwamba kila Mtanzania akiwa na notion ya kwako kweli tutajikwamua kwenye haya matatizo yaliyopo. Na hali hii itapelekea hata wananchi kuacha kushiriki kwenye zoezi la kuchagua viongozi thabiti. Lakini pia nimesoma thread zako nyingine nimeshindwa kujua msimamo wako kwenye mustakabali wa nchi yako hasa kwenye nyanja ya siasa ambayo ndio inalinda mifumo mingine yoyote. Nashawishika kuamini kuwa unabadilika lakini sijajua unabadilikia mrengo gani.
Nway lengo sio kukujadili ila ni kujadili post yako kuwa kila mtu na lwake. Siamnini dhana hii kwasababu bado tunahitaji kusimama kwa umoja wetu na kuleta mabadiliko chanya. Sijui kwanini umeamini hivyo labda ni kwasababu unaishi ng'ambo ambako hadi umesahau umoja wa Watanzania. Mimi ninayeishi uku kijijini najua kinachoendelea na matumaini waliyonayo Watanzania kila kuchapo sasa wewe ukiamka na kutamka maneno haya sijui unamaanisha nini na unataka watu waelewe nini?
Ni mtazamo wako binafsi ninauchukulia kama msimamo wako lakini bado naamini wewe umechukua mtazamo wa karibu sana na hitimisho ulilotoa sio sahihi kwa mazingira ya Kitanzania labda msimamo wako umechochewa na muda na kile ambacho umekipata uko ng'ambo ya nchi.
Karibu tena Tanzania and dont trust in anyone labda ndio maana unakata tamaa mapema mtumishi
Mpwa, nilidhani hupendi stress, huku umefata nini lakini? au kwa vile thread inaunga mkono kaulimbiu yetu kule kwetu kuleee.kila nyani ashikilie tawi lake-tunachapa mwendo kwa slogan hiyo