Liwalo na liwe nimevutiwa na nimetokea kumpenda huyu jini kwa moyo wangu wote

Liwalo na liwe nimevutiwa na nimetokea kumpenda huyu jini kwa moyo wangu wote

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana


Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu


Nilikutana na huyu jini kama mwezi mmoja hivi uliopita, alionekana yuko smart sana kuanzia mavazi, mwili na yuko timamu kichwani.


Alikuwa anatembea kwa miguu nilipokutana nae mitaa ya uzunguni maeneo ya jengo la CCM karibu na nyumbani kwa Waziri Mkuu mstafu hapa Dodoma.

Nilimpa salam akaitikia, nilimsimamisha akasimama alionekana mcheshi sana kwakweli, wakati tunaendelea na mazungumzo nilijitangiza kumwambia naona dada una haraka sana hebu nipe tu namba yako ya simu nitakupigia.

Alinipa namba ya simu ambayo haipo dunianu, nilimuuliza kama kweli hii ndo namba yake akasema yes ndo namba yangu hiyo niliibipu hapo hapo ikaita.

Jion nilimchana mistari akaingia laini.

Hii namba yake ya simu huwa napiga hata kama sina salio.

Usiku kwa siki hizi huwa anakuja gheto hata kama ni saa nane usiku na mda wote ana kaa na hela sana.

Demu wangu alikuja gheto lakinu chombo hakikusimama kabisa na usiku wake alipokuja akanambia yote na akadai alikuwa ana shudia kila kitu na yeye ndo alifanya hadu mdudu ashindwe kuwika.

Juzi kanipa historia yangu yote hadi sehemu nilipozaliwa na nilipokulia na niliposomea, kaniambia yote kuhusu sehemu ambazo nishawahi kufika.

Kanipa habari zote za mademu wangu wa zamani

Yaan kanambia hadi nina demu JF anaitwa mbiti, jamani huyu jini huyu

Lakini ukweli mimi nampenda sana aisee!

Kanambia niachane na mademu zangu wote tukaishu dunia nyingine kabisa tofautu na hii ninayoiona.

Sasa nabaki najiuliza hiyo dunia ni ipi na kuna nini huko?


NAKUPENDA SANA MPENZI JINI

NAOMBENI USHAUR NIMTOSE NINI?


LONDON BABY
 
TUKIAMUA KUSEMA YA MOYONI KUHUSU POST HII,TUTAONEKANA TUNAONGEA SANA.ANYWAY HII NDO JAMII YETU
 
Uongo UPO kwenye namba ya simu,kupiga kwake bila salio,ulijuaje yeye ni jini,umetaja alikuwa na hela zikiwa wapi,jina lake hukumuuliza umeomba namba ya simu tu.Wapi majini lakini so kwa staili hii yako
 
Jitahidi utaweza kutunga hadithi bado una idea zile za nyimbo ya Z-Anto..... Habari hizi ungekaa na watoto wa 'primary' uwaambie, utasikilizwa haswa
 
Back
Top Bottom