Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Jini [emoji23][emoji23][emoji23] la kianalojiaNa litakutokea jini one day wallah hutoweza hata ku-type mashairi haya,
Shwain! Tangu lini jini ukaishi nae afu umtangaze easy kama hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jini [emoji23][emoji23][emoji23] la kianalojiaNa litakutokea jini one day wallah hutoweza hata ku-type mashairi haya,
Shwain! Tangu lini jini ukaishi nae afu umtangaze easy kama hivi?
MBITIYAZA umepata mke mwenza jini
Kazi unayo [emoji23][emoji23][emoji23]JAMAN mume wangu anapoelekea sasa siko !dah !jaman ben ten wangu wewe nn lakini? hahahah aiseee! unajua huyu akifika like 30 yrs atakuwa anajutia sana haya !hahaha mie sikupitia ujana wangu vibaya aiseee !dah Beira Baby Boy salute
Kazi unayo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi albadiri zitawashika wengi JoseAsante kwa huu mchemsho mkuu, kawadanganye wengine
Inaonekana kazi imekushinda Mbiti... Humshughulishi vya kutosha Ben ten wako.yaan hatar sana jaman kwa siku mume wangu anatoa threads km 3 uwii !
Inaonekana kazi imekushinda Mbiti... Humshughulishi vya kutosha Ben ten wako.
Huo umri wako si mnatakaga hizo speed [emoji16][emoji16][emoji16]nakiri imenishinda !jamaa ana spidi na pumzi sio ya nchi hii ! nimekongoroka ghafla !
Huo umri wako si mnatakaga hizo speed [emoji16][emoji16][emoji16]
Si hio 30+hahaha umri gan kwanza
umeona eeeHizi albadiri zitawashika wengi Jose
Si hio 30+
Kabisa... Au wewe unaonaje?umeona eee
Tuko jf kumbuka where real and unreal are mixed.ah wapi ! mie sijafikia ht kuwaza level za kuwa na viserengeti wala haitatiokea kwangu
Mkuu kweli wewe noma baada ya mama mwenye nyumba wako kutaka kukuozesha binti yake kwa nguvu sasa kabadilika kuwa jiniAmani iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Nilikutana na huyu jini kama mwezi mmoja hivi uliopita, alionekana yuko smart sana kuanzia mavazi, mwili na yuko timamu kichwani.
Alikuwa anatembea kwa miguu nilipokutana nae mitaa ya uzunguni maeneo ya jengo la CCM karibu na nyumbani kwa Waziri Mkuu mstafu hapa Dodoma.
Nilimpa salam akaitikia, nilimsimamisha akasimama alionekana mcheshi sana kwakweli, wakati tunaendelea na mazungumzo nilijitangiza kumwambia naona dada una haraka sana hebu nipe tu namba yako ya simu nitakupigia.
Alinipa namba ya simu ambayo haipo dunianu, nilimuuliza kama kweli hii ndo namba yake akasema yes ndo namba yangu hiyo niliibipu hapo hapo ikaita.
Jion nilimchana mistari akaingia laini.
Hii namba yake ya simu huwa napiga hata kama sina salio.
Usiku kwa siki hizi huwa anakuja gheto hata kama ni saa nane usiku na mda wote ana kaa na hela sana.
Demu wangu alikuja gheto lakinu chombo hakikusimama kabisa na usiku wake alipokuja akanambia yote na akadai alikuwa ana shudia kila kitu na yeye ndo alifanya hadu mdudu ashindwe kuwika.
Juzi kanipa historia yangu yote hadi sehemu nilipozaliwa na nilipokulia na niliposomea, kaniambia yote kuhusu sehemu ambazo nishawahi kufika.
Kanipa habari zote za mademu wangu wa zamani
Yaan kanambia hadi nina demu JF anaitwa mbiti, jamani huyu jini huyu
Lakini ukweli mimi nampenda sana aisee!
Kanambia niachane na mademu zangu wote tukaishu dunia nyingine kabisa tofautu na hii ninayoiona.
Sasa nabaki najiuliza hiyo dunia ni ipi na kuna nini huko?
NAKUPENDA SANA MPENZI JINI
NAOMBENI USHAUR NIMTOSE NINI?
LONDON BABY