Liwalo na liwe nimevutiwa na nimetokea kumpenda huyu jini kwa moyo wangu wote

Lakini majini yapo, nilishakutana nalo nikisimulia mtasema ni utoto acha iwe siri yangu lakini siku ukikutana nalo utaamini
 
mimi kakake jini kumbe ndio ww shemeji yetu mtarajiwa unajidai humu ss nitamwambia dada yng akukomeshe leo usiku
 
Mkuu kweli wewe noma baada ya mama mwenye nyumba wako kutaka kukuozesha binti yake kwa nguvu sasa kabadilika kuwa jini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…