Liwalo na liwe nimevutiwa na nimetokea kumpenda huyu jini kwa moyo wangu wote

Hivi wewe ni mwanaume kweli maana ckuelewagi nna mashaka utakuwa unaliwa futa
 
Yani story zako ni zakitoto hivi unamiaka mingapi?? Za kutunga hazina ht maana hazielimishii umezidi punguzaa
 
Jamaa anatafuta umaarufu JF kwa jitihada zote hata ikiwa ni kwa kujitoa ufahamu.
Mkuu ulijuwaje tena kituko
 
Umekutana nae uzunguni, maeneo ya jengo la CCM, karibu na nyumba ya Waziri Mkuu?
Braza, hujakutana na jini peke yake, upo uzunguni yao kabisa, sio ya dodoma kwa kweli.
 
Zed Anton ana details, tangia aoe jini hadi leo hajawahi funika soko, ukimuuliza atakujuza Mkuu
 
Ujinga+upumbavu=kilaza
Usitufanye sisi vilaza wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…