Liwalo na liwe

Liwalo na liwe

Ndio utie akili siku nyingine kutoa shobo kwa kila mtu.
Alikuwa anfurahia mauaji ya vitoto Gaza naona kikosi sasa imemuandama kwa yale aliyokuwa anfurahia mpaka nachanganyikiwa.
 
I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu.

I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo.

Wasaliti, wadhulumati na waonevu wote kufeni wote na msifufuke hata mkifa katika Yesu.

Nyau nyie
Bangi mbichi mbaya sana🤣🤣🤣🤣
 
Nini maana ya chuki yako ilhali kaburi lako hutachimba , maiti hutajiosha wala mchanga huta funika mwenyewe?
 
Uzi wako huu unatia motisha kwa vijana kuondokana na stress inakuwa simple tu "Liwalo na liwe"
 
Ghayo kachafukwa nafsi😀😀😀.
 
I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu.

I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo.

Wasaliti, wadhulumati na waonevu wote kufeni wote na msifufuke hata mkifa katika Yesu.

Nyau nyie
Mbrrrrrrrrrrr
Kulikoni?
Kuna mtu amekuingiza chaka?
Pole sana, ulikuwa unatuma hela ujengewe, halafu ndugu walikuwa wanaenda kuilia bata
 
Mtu kashapigwa utosini na kitu kizito, butu na chenye ncha butu, woiih! Ambulance please
 
Back
Top Bottom