Semilong
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 1,711
- 220
Liyumba na Kweka kazi zao tumeona leo Benki Kuu ukumbi na majengo ni mazuri sio second hand na hajalipuliwa. Ukumbi wa mikutano mzuri.
Swali inakuaje HR Manager na Project Manager wapitishe matumzi ya hela nyingi bila board of directors (huu ni uongo). Inamaanisha wao wamechukua hizo hela bila Finance Director (siamini). Kama hawakula hela mbona walikaa kimya siku zote hizo.
Liyumba ka-share hela dada kibao pale wa mjini ana roho nzuri hakula peke yake.
Rostam kila kitu ni cha hali ya chini, majenerator si chochote...
Mwisho Liyumba ndani, Rostam nje, halafu magazeti yake na ya serikali yanamfanya Liyumba mtuhumiwa mkuu ili wengine wasahaulike.
Watuhumiwa wote wamepewa dhamana kasoro hawa wawili na hawajala peke yao

Last edited: