Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna taarifa kwamba Liumba wa BoT atapanda kizimbani Kisutu muda si mrefu, anapelekwa na Takukuru, inawezekana ni ile kesi ya kikiuka taratibu za ajira kwani ndiye aliyeajiri watoto wa vigogo
Safiiii safi sana...ila tu isiwe kiini machoKuna taarifa kwamba Liumba wa BoT atapanda kizimbani Kisutu muda si mrefu, anapelekwa na Takukuru, inawezekana ni ile kesi ya kikiuka taratibu za ajira kwani ndiye aliyeajiri watoto wa vigogo
Mkulu HalisiTayari wako wawili wameshafikishwa eneo la viwanja vya mahakama ya Kisutu wakiwa katika gari la Takukuru wanasubiri kuingizwa ndani ya mahakama muda mchache ujao. Aliwahi kuhojiwa na Takukuru muda mrefu kuhusiana na mambo ya ajira zisizofuata taratibu
What about matumizi mabaya ya madaraka.Hii hatua ya kumfikisha huyu Bwana mahakamani ingeenda sambamba na kusimamishwa kazi kwa watoto wote wa vigogo walioajiriwa bila kufuata taratibu na wala sio wale waliopelekwa mahakamani some few months ago. Kuna ukweli ulio wazi kwamba watoto wengi wa vigogo waliajiriwa kwa kwenda na vimemo tu. Ningeshauri ifanyike Human Resources Audit (ifanywe na independent firm) ya nguvu pale BOT ili kuona kama kweli taratibu zilifuatwa wakati watoto hao wa vigogo wanaajiriwa. Nina uhakika hawa hawakutoa rushwa hata kidogo hivyo suala la kuajiriwa kwao halipashwi kuhusishwa na rushwa.
Mkulu haya mambo ni seriuos.WATU WAMEAGA FAMILIA ZAO KWAMBA WANAENDA KAZINI.Jamani hao watoto wa vigogo hawakutoa rushwa. Vilitumika vimemo na simu. Sasa je vinaweza kutumiwa kama ushahidi???? Sasa TAKUKURU wanamshtaki kwa kosa lipi la rushwa???? Mwishowe itaonekana hakuna ushahidi na kesi itafutwa, then ataanza kudai fidia!!!! Mambo ya mahakama yameshakuwa ni fashion tu sasa. Kila kitu mahakamani!!!???
Pengine kutakuwa na issue nyingine zaidi ya zile ajira za upendeleo. Tusubiri charge zitakazosomwa dhidhi yake. Asante mwanahabari wetu kwa kutuhabarisha hili tena.
Hii hatua ya kumfikisha huyu Bwana mahakamani ingeenda sambamba na kusimamishwa kazi kwa watoto wote wa vigogo walioajiriwa bila kufuata taratibu na wala sio wale waliopelekwa mahakamani some few months ago. Kuna ukweli ulio wazi kwamba watoto wengi wa vigogo waliajiriwa kwa kwenda na vimemo tu. Ningeshauri ifanyike Human Resources Audit (ifanywe na independent firm) ya nguvu pale BOT ili kuona kama kweli taratibu zilifuatwa wakati watoto hao wa vigogo wanaajiriwa. Nina uhakika hawa hawakutoa rushwa hata kidogo hivyo suala la kuajiriwa kwao halipashwi kuhusishwa na rushwa.
Jamani hao watoto wa vigogo hawakutoa rushwa. Vilitumika vimemo na simu. Sasa je vinaweza kutumiwa kama ushahidi???? Sasa TAKUKURU wanamshtaki kwa kosa lipi la rushwa???? Mwishowe itaonekana hakuna ushahidi na kesi itafutwa, then ataanza kudai fidia!!!! Mambo ya mahakama yameshakuwa ni fashion tu sasa. Kila kitu mahakamani!!!???
Pengine kutakuwa na issue nyingine zaidi ya zile ajira za upendeleo. Tusubiri charge zitakazosomwa dhidhi yake. Asante mwanahabari wetu kwa kutuhabarisha hili tena.
Mkuu YY,Ukisha kuajiriwa kufukuzwa eti kwa sababu utaratibu wa ajira haukufuatwa sio sahihi.
Mpaka hapa TAKUKURU wako sawa, anayetakiwa kujibu tuhuma ni huyo Liumba aliyesaini barua za ajira na sio hao walio ajiriwa.
Nadhani, kosa la kutumia madaraka vibaya ndilo atakalobebeshwa nalo Liumba na wenzake.
Mkuu YY,
Jamaa (Liyumba na Deogratias Kweka) wanapandishwa kizimbani dhidi ya kashfa ya Twin Tower.
Nipo hapahapa Kisutu, nitawafahamisha kinachoendelea
Haya , ila wasiwasi wangu ni je? hizi kesi zitafikia mwisho?.
Ukisha kuajiriwa kufukuzwa eti kwa sababu utaratibu wa ajira haukufuatwa sio sahihi.
Mpaka hapa TAKUKURU wako sawa, anayetakiwa kujibu tuhuma ni huyo Liumba aliyesaini barua za ajira na sio hao walio ajiriwa.
Nadhani, kosa la kutumia madaraka vibaya ndilo atakalobebeshwa nalo Liumba na wenzake.