Mkuu YY,
Jamaa (Liyumba na Deogratias Kweka) wanapandishwa kizimbani dhidi ya kashfa ya Twin Tower.
Nipo hapahapa Kisutu, nitawafahamisha kinachoendelea
Ndio utamu wa JFMkuu salute, keep flowing...
Tunasubiri hizo charges za hawa jamaa
BTW: Hapa nilipo najifanya mzee wa breaking newz na info muhimu, kumbe nachungulia jf!
Mkuu YY,
Jamaa (Liyumba na Deogratias Kweka) wanapandishwa kizimbani dhidi ya kashfa ya Twin Tower.
Nipo hapahapa Kisutu, nitawafahamisha kinachoendelea
Kiasi cha pesa kinachohitajika kurejeshwa ni Tshs 221,197,299,200/= ambapo wawili hawa wanatakiwa kwa pamoja ili kupata mdhamana watoe nusu ya kiasi hicho juu.
Kaazi kwelikweli
kiasi cha pesa kinachohitajika kurejeshwa ni tshs 221,197,299,200/=
Mkuu, Hii ni Billion 221 na ushee, za kina Maregesi unaongelea zile za EPA sio? Epa cha mtoto katika hii issueMimi naona kama 'changa la macho' sidhani kama hawa jamaa watafungwa,mbona Malegesi hawamleti?
Wakuu mimi nashindwa kuelewa hapa kwamba Liumba anahusikaje maana he was more into administration. Huyu Kweka yeye alikuwa Projects manager kwa hiyo is a right target. Na itanishangaza uliko kawaida ikiwa eti Liumba alikuwa ndio anaaprove issue za ujenzi wa tower hizo. Mimi on my opinion naamini kabisa hawa ni vijidagaa na inawezekana kabisa hili ni changa la macho!
...unazungumzia equivalent STG £60m au USD £84m hivi...?Mkuu, Hii ni Billion 221 na ushee, za kina Maregesi unaongelea zile za EPA sio? Epa cha mtoto katika hii issue
Kiasi cha pesa kinachohitajika kurejeshwa ni Tshs 221,197,299,200/= ambapo wawili hawa wanatakiwa kwa pamoja ili kupata mdhamana watoe nusu ya kiasi hicho juu.
Kaazi kwelikweli
...mama yangu weeee,zaidi ya dollar milioni mia mbili? nina uhakika hii pesa ingeweza kukata ile foleni ya magari Dar kwa 100% na kujenga Kigamboni bridge na hata kuongeza 100MW kwenye grid ya Taifa,lakini jamani kama project moja tuu imeweza kulipua 200m USD,je ile nchi ina projects ngapi ambazo nyingine nina uhakika pesa zimetolewa lakini hata hatujawahi kusikia kwa sababu mafisadi walimaliza pesa kabla hazijaanza...yaani EPA,Radar,President Jet,Richmond,Twin towers,IPTL,mikataba ya kina Karamagi ya madini mpaka bandari,mashangingi ya serikali etc wakuu hapo tunaongelea zaidi ya dollar billion moja...naamini tulitakiwa tusiwe na shida ya umeme na barabara zote kuu zingekuwa za lami kama serikali ingekuwa makini,ukiangalia vizuri huu upuuzi wote ulikuwa under Mkapa watch,kweli Mkapa was sooooo much Mr Clean!
Mkuu YY,
Jamaa (Liyumba na Deogratias Kweka) wanapandishwa kizimbani dhidi ya kashfa ya Twin Tower.
Nipo hapahapa Kisutu, nitawafahamisha kinachoendelea