Mheshimiwa Mwenyekiti wa Tume una mbwembwe sana....
Hadi umesahau hapo badala ya kuweka log yetu ya JF na MMU.....
Umeweka picha yako lol.....
Hii haijapata kutokea tokea zama za kupeana tuzo zianze...
Sasa mkuu, wenye character wao si watakushtaka kaka, hii picha ya superman ni mali ya DC Comics, Inc, na wewe unaitumia kwenye award. Wape watu tender wakutengenezee japo cyber medal au certificate.
Thank you guys. . .
Ingawa sina uhakika kama nimeshinda au nimepewa ushindi bado nashukuru woooote walionipigia kura na pongezi pia.Nikitoka huku busy niliko ntarudi kusoma post zenu nizijibu kama ambavyo ningependa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.