Lizzy: "JF Queen Of MMU - 2011"

Hongera sana lizzy, ndo maana nilikuambia nakupenda bila sababu.... Unastahili kwa kweli.... Stay blessed........
 
hureeee wanawake juu juu zaidiiiiiiiiiiiiiiiiii<tunaweza hata bila muwezaji!!! lizy big up yaani chozi la furaha linanitoka kwa ushindi.
 


Mheshimiwa Mwenyekiti wa Tume una mbwembwe sana....
Hadi umesahau hapo badala ya kuweka log yetu ya JF na MMU.....
Umeweka picha yako lol.....
Hii haijapata kutokea tokea zama za kupeana tuzo zianze...
 

Sasa mkuu, wenye character wao si watakushtaka kaka, hii picha ya superman ni mali ya DC Comics, Inc, na wewe unaitumia kwenye award. Wape watu tender wakutengenezee japo cyber medal au certificate.




Source: Medal
 
Hongera sana Lizzy...you earned it
 
Congrats to the Winner 😛oa
 
Hongera sana my SWEETIE Lizzy. Ningeshangaa kama usinge pata.
Mwaaaaa!
 
Du kweli nimepitwa na mambo, hongera sana Lizz
 
Thank you guys. . .
Ingawa sina uhakika kama nimeshinda au nimepewa ushindi bado nashukuru woooote walionipigia kura na pongezi pia.Nikitoka huku busy niliko ntarudi kusoma post zenu nizijibu kama ambavyo ningependa.

Ahsanteni tena.
 
Uwepo wako umeonekana karibu sana super lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…