ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD
Mkuu ww ni meneja masoko mpya nn wa Mzumbe.
Mzumbe kiko nchi gani mkuu?
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD
WENGI wanasema vivyo ndio maana kuna wanafunzi wengi wanamaliza advance na nyuma perfomance nzuri sana,so kwa input wanazochukua wanachukua waliofanya vizuri wengi wao na pia hata kwa output . .wengine kutoka PCM,EGM, wanakimbia engineering wakihitaji kusoma baf kwa upande wa BAF ,lakini kwa course zingine sina ujuzi..... limitation ".jamaa wanasababisha watu kumeza sana bila kuelewa maana sii wote wanakuwa na uwezo wa kupokea vitu vingi kwa wakati mmoja maana wanatumia spid ya ajabu kufundisha vitu vingi kwa mda mfupi.mfano kuna kitu inaitwa staggered semister pale ambayo inatumia mda mfupi"so naona wafanye marekebisho kwa hilo.MAONI YANGUWakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD
mbona nliosoma nao law school hawakupass waliishia kuresit...tu
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD
mdogo angu anasoma mzumbe certficat mbeya...jana majib yametoka ana A ya accounting...lakin credit & debit hajui...hajui hata invoice ni nini..ila amepata A...kweli mzumbe ni chuo bora
Wanachukua reject za UDSM, watakua na ubora gani makapi hayo ala Kawambwa? Ni majanga tena wa LLB weka mbali
Wanafaulishwa! So sad