Ll,b ,hrm na baf za mzumbe zina ubora wa pekee

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD
 
Mkuu ww ni meneja masoko mpya nn wa Mzumbe.
 
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD

Embu maliza hicho chuo kwanza wewe first year uje huku mtaani uone kama ni bora au tofauti na hivyo.
 
Hata maofisini wahitimu wa MZUMBE wanasifika kwa ubora kwenye kozi za BAF,LL,B,Na HRM
 
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD

Nonsense!!
 
WENGI wanasema vivyo ndio maana kuna wanafunzi wengi wanamaliza advance na nyuma perfomance nzuri sana,so kwa input wanazochukua wanachukua waliofanya vizuri wengi wao na pia hata kwa output . .wengine kutoka PCM,EGM, wanakimbia engineering wakihitaji kusoma baf kwa upande wa BAF ,lakini kwa course zingine sina ujuzi..... limitation ".jamaa wanasababisha watu kumeza sana bila kuelewa maana sii wote wanakuwa na uwezo wa kupokea vitu vingi kwa wakati mmoja maana wanatumia spid ya ajabu kufundisha vitu vingi kwa mda mfupi.mfano kuna kitu inaitwa staggered semister pale ambayo inatumia mda mfupi"so naona wafanye marekebisho kwa hilo.MAONI YANGU
 
Bado tu uvyuo vyuo upo eeeh kwani hao wa mzumbe wao ndo wanapata kazi tu
 
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD

hivi siku hizi watoto wanavuta bange eeh,maana hii si akili ya kawaida
 
mbona nliosoma nao law school hawakupass waliishia kuresit...tu
 
Mzumbe hawa ambao hawajui hata kuandika invoice?
 
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD

Wanachukua reject za UDSM, watakua na ubora gani makapi hayo ala Kawambwa? Ni majanga tena wa LLB weka mbali
 
mdogo angu anasoma mzumbe certficat mbeya...jana majib yametoka ana A ya accounting...lakin credit & debit hajui...hajui hata invoice ni nini..ila amepata A...kweli mzumbe ni chuo bora

Wanafaulishwa! So sad
 
Back
Top Bottom