LL,B MUCCoBS

LL,B MUCCoBS

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
WAKUU HUSUSAN FORM6 WATAKAO CHAGULIWA KUJIUNGA NA LL,B MUCCoBS NAWAAMBIA HAPO NDO PENYEWE KUNA MAPROFESA WA LAW NA MADR. WAKUTOSHA
 
Ha ha ha! Kumbe mpigamsuli uko muccobs law! Nakubaliana nawe mkuu hapo ni muccobize nna iman mtatoka mkiwa vizuri sana
 
WAKUU HUSUSAN FORM6 WATAKAO CHAGULIWA KUJIUNGA NA LL,B MUCCoBS NAWAAMBIA HAPO NDO PENYEWE KUNA MAPROFESA WA LAW NA MADR. WAKUTOSHA

Hongera mkuu ila usiwadanganye vijana kama unasoma law basi utakuwa right
 
LL,B ni udsm tu pengine chenga
lete fact za msingi, hii yote ni stres za kuchaguliwa kusoma education ushapoteza dira ya maisha ,utavaa sendeu
mpaka utakoma,wewe mjinga kweli unadhani ukisoma udsm ndio utakuwa mwanasheria mzuri? ,kichwa chako kikoje? maskin unasoma education ,mtu mwenyewe umesomea mwakalale inaonyesha ulipata point mbaya kwenye kombi yako, formsix ukafeli vibaya kwa kupata division three aibu hgl unapata three
 
sasa c bora huyo alyechaguliwa kusomea ualimu kuliko wewe unaesomea procurement afu unadanganya watu unasoma Llb!
 
lete fact za msingi, hii yote ni stres za kuchaguliwa kusoma education ushapoteza dira ya maisha ,utavaa sendeu
mpaka utakoma,wewe mjinga kweli unadhani ukisoma udsm ndio utakuwa mwanasheria mzuri? ,kichwa chako kikoje? maskin unasoma education ,mtu mwenyewe umesomea mwakalale inaonyesha ulipata point mbaya kwenye kombi yako, formsix ukafeli vibaya kwa kupata division three aibu hgl unapata three

sikupi kesi yangu bora nikubali kosa nifungwe we kilaza tu
 
Sheria sio ud tu acha kukatisha watu tamaa inamaana ata ya mzumbe sio sheria, we nenda kapige bachelor yako ya uvuvi.
 
LL,B ni udsm tu pengine chenga

Nenda law school kaulize kwanza ndo uje hapa unajidai unajua kumbe hujui lolote,ukimaliza nenda mahakamani kaulizie,fanya tafiti hata ndogo tu
 
Back
Top Bottom