LL,B ,MZUMBE na UDSM ni kweli ndio shule ngumu?

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
Wakuu kumekuwa na maneno kwamba kwenye hivi vyuo vya MZUMBE na UDSM kwenye kozi ya SHERIA(LL,B) ndio wanashule ngumu sana kulinganisha na vyuo vyengine vya kata kama SAUT,RUCo,TUMAINI DAR,TUMAINI IRINGA,UDOM,MUCCoBS,MAKUMIRA, karibuni tujadili kwa kina juu ya ukweli wa huu uvumi
 
'Vileji iz beta zan tauni' debate.
 
nani kakwambia Muccobs chuo cha kata mziki wake hata siku moja usifananishe na vyuo vinavyojiuza kwa majina tu bora ungesema kidogo SUA ningekuelewa ningekuelewa

labda useme kwa kozi moja moja kama law hapo sawa
 
Mimi naona MUCCoBS shule rahisi sanaa! tatizo ni kwamba chuo kinachukua division three wengi ambao uwezo wao ni mdogo ndio maana mnaona shule ngumu
 
Muccobs,ni chuo cha kata,hlo halina ubishi.
 
ukishazungumzia sheria basi udsm,mzumbe basi ndio nasikia ni wazuri sana pia ukiingiza za muccobs maaa waatumia mifumo ya sua,saut ni mass commuication kwa kipindi kirefu saaana.mwisho kabisa kuna vyuo ambavyo kwamdamrefu sana vimekuwa vikitoa kozi fulani so viakuwa na uzoefu hata kwenye utoaji wa hiyo course sometimes
 
Thanks God sasa hivi ninamalizia Semester ya mwisho LL.B. UDSM....Sheria UDSM ni ngumu....Mzumbe wana-beep
 
nani kakwambia Muccobs chuo cha kata mziki wake hata siku moja usifananishe na vyuo vinavyojiuza kwa majina tu bora ungesema kidogo SUA ningekuelewa ningekuelewa

labda useme kwa kozi moja moja kama law hapo sawa

Uwe na uelewa wa vitu kabla hamjapost humu,SUA haitoi kozi za sheria so huwezi kuiweka hapo,nashangaa pia kuita MUCOBs chuo cha kata ilhali ni "constituent college" ya sua na sio full fledged university bado inaitegemea sua..ni kama kuita Mkwawa na DUCE ni vyuo vya kata wakati bado hazijawa full universities
Pili sijajua kama MuCCOBs wanatoa LLB
 
nani kakwambia Muccobs chuo cha kata mziki wake hata siku moja usifananishe na vyuo vinavyojiuza kwa majina tu bora ungesema kidogo SUA ningekuelewa ningekuelewa

labda useme kwa kozi moja moja kama law hapo sawa

Uwe na uelewa wa vitu kabla hamjapost humu,SUA haitoi kozi za sheria so huwezi kuiweka hapo na kamwe sua haiwezi kukaa kwenye nafasi ya vyuo vya kata coz it is the second oldest and best versity after udsm,nashangaa pia kuita MUCOBs chuo cha kata ilhali ni "constituent college" ya sua na sio full fledged university bado inaitegemea sua..ni kama kuita Mkwawa na DUCE ni vyuo vya kata wakati bado hazijawa full universities
Pili sijajua kama MuCCOBs wanatoa LLB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…