LNG plant in Lindi

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206

Dar es Salaam.
President Samia Suluhu Hassan’s directive that negotiations with international oil companies (IOC) on the proposed $30 billion (Sh69 trillion) liquefied natural gas (LNG) complex in Lindi Region be expedited has revived hopes that the project will finally be implemented.

The Host Government Agreement (HGA) discussions on the construction of the project - which have stalled for more than three years - are expected to resume next month, the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) managing director James Mataragio has revealed.

Addressing Parliament last week, President Hassan said the negotiations have dragged on for a long time and insisted that it was about the time they [the negotiations] were swiftly conducted and finalised once and for all.

“It has been six years now since we started these negotiations but nothing tangible has been achieved so we can start actual construction of the LNG plant. The long wait is over and we are going to do it now,” she told the House last week.

Her orders meant to quickly finish the necessary procedures for the construction of the project to kick off soon.

True to the President’s call, Dr Mataragio told The Citizen yesterday that all was set for the negotiations to start next month, noting that experts from both sides [the government and international oil companies] will conduct the discussions for a period of six months.
 
Unaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
Ina maana team yetu negotiate itaogopa kulinda maslahi Taifa sababu mama kasema mazungumzo yaishe ? Vipi bungeni pia watakuwa influenced ? Sidhani mama anaona fursa iliyopo pia kustua uchumi nchi panua wigo wa revenue ......lindi na mtwara kuchere
 
Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.

P
 
Shinikizo au kuonyesha interest ya mradi?
Ina maana team yetu negotiate itaogopa kulinda maslahi Taifa sababu mama kasema mazungumzo yaishe ? Vipi bungeni pia watakuwa influenced ? Sidhani mama anaona fursa iliyopo pia kustua uchumi nchi panua wigo wa revenue ......lindi na mtwara kuchere
Issue sio kuweka wazalendo kwenye majadiliano, isipokuwa nature ya majadiliano ya Oil and Gas yenyewe ni back and forth. Waganda wasingekuwa na msimamo wangepata mkataba mmbaya.

Museveni aliweka environmental conditions na project kadhaa ambazo lazima zifanyike kwanza kabla ya bomba la mafuta kujengwa, that is on top of other concession agreements.

Tullow walipoona awawezi hizo conditions mpya wakauza share zao mziki ukabaki wa CNOOC na Total wakidai awawezi fidia costs za Tullow. Ndio kilichochelewesha bomba kujengwa kwa zaidi ya miaka 5 mpaka wawekezaji wenyewe waka backup sio Museveni.

Mtu hajui majadiliano yamekwama wapi anatoka anatoa pressure tu malizeni, matokeo yake week chache baadae watu kwa kuogopa kupoteza mkate wao wanajikuta wanalazimika sasa kukutana na wawekezaji, it’s simple to see who will have the upper hand in that negotiation na mama mwenyewe sidhani ata anajua ni wapi haswa waliposhindana. Walau huko Uganda walisema tatizo lilipo kwenye media sisi kwetu siri.

Hiyo mikataba finance zake ni very complicated na hao watu wanauzoefu ukiendekeza njaa imekula kwako.
 
Ni kweli mkuu. Asante kwa hoja yako
 
We’re not going to see the LNG plant being constructed any time soon or at all! Investment in fossil fuels has had a downward trend lately as opposed to renewables which are gaining momentum. Apart from that, the costs are too high, 69 trillion TZS!!! No companies from the richest countries can afford to lose this capital.
 
Mkuu huenda unachosema now nikweli lkn unahakika kwamba mama hajapewa marejesho wa hayo mazungumzo? au kama hajapewa kwanini waliokuwa kwenye timu ya majadailiano hawajasema walipofikia

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 

Unaongea kama vile mama katoka sayari nyingine hajui kilichokuwa kinaendelea. Acheni mama afanye kazi. Unaweza kuchelewa hata miaka 10 na ukapigwa kwenye mkataba.
 
Nisahihishe vitu viwili. Mama kawaambia watu wetu kwamba kama mwekezaji hataki watafute mwingine. Kwa hivyo si sahihi kusema shinikizo limewaondolea nguvu ya kujadili sana.

Pili, sio sahihi kusema huo ukubwa wa uwekezaji ($30 billion) hautakubalika. As we speak, TOTAL wameingia mkataba wa LNG na Papua New Guinea wenye ukubwa huo huo wa uwekezaji. Serikali ya PNG itakuwa na share 22.5% na OIL SEARCH, kampuni ambayo shareholder wakubwa ni Papua New Guinea, watakuwa na share ya 17.7%. Mradi ukikamilika itatoa gesi 5.4 million tons per annum.
 
Na mimi nina elewa hivyo "kupigwa" lakini nina tafuta relevant facts kuonyesha hivyo , moja wapo ni ku read in btn the lines "international oil companies" ni akinani maana ukienda mbele zaidi kuna
"The main implementers, Shelly and Equinor"

Ni kampuni za wapi na main players wake ni nani.
Je kuna spelling mistake ya Shelly = shell
Na Equinor ni ya nani, na kwanini negotiations ziwe na hawa wawili tu , wakati tumeambiwa ni " international oil companies "
 
Hawaiingia kwenye negotiations upya. Amesema negotiations imeendelea kwa miaka 6 sasa!

Anachotaka hiyo negotiation ifike mwisho, kama inawezekana mradi ufanyike, kama haiwezekani watu wafanye mambo mengine waache kupoteza muda.
Unaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
 
Majadiliano yoyote ni back and forth. Kama una watu wasio vilaza huwezi kuwa unafanya majadiliano kwa miaka 6. Vinginevyo hiyo timu ya majadiliano hawajui wanataka nini.

Museveni aliweka environmental conditions gani kwenye Hilo bomba la mafuta la Uganda ikiwa mabenki makubwa mengi yamekataa tena kuikopesha hiyo project kwa sababu za kimazingira na uharibifu wa maisha ya watu unaotegemewa??

Hakuna anayefahamu kitu gani kipo kwenye huo mkataba wa bomba la mafuta la Total tofauti ya Museveni, Samia na watu wao wachache, acha kutudaganya kwamba unafahamu huo mkataba utakuwa ni mzuri eti tu kwa sababu wawekezaji wameuziana mradi.
 
Kabisa aisee 1.8trl na mengine mengi sana, so utajiuliza kwann Prof Assad alitolewa ndukii 🤣🤣
Utaperi wa Jk... Maslai ya Team msoga yanaanza kuguswa kuna watu Tanzania walitakiwa wanyongwe tena hadi na hao wawelezaji kwa pamoja...
 
Kumbukumbu zangu Kuna wakati waziri mkuu mstaafu alienda au Korea au Japan kukagua meli ya kutafuta mafuta sasa ule mpango ulifikia wapi.
 
SSH is naive, anaenda kuingiza nchi kwenye hasara kwa sababu ya ujinga wake, huwezi lazimisha negotiations iishe bila kujali nini tutapata, HGA ilikuwa inasuasua sababu ya PSA policy mpya ambayo IOCs waliona inawaminya, kwa lugha rahisi SSH anawaambia TPDC waachie chochote walichokuwa wanapigania wasaini mikataba, huu ni mkataba wa 30bn USD ( 70 trl Tzs ), haraka ni ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…