LNG plant in Lindi

LNG plant in Lindi

SSH is naive, anaenda kuingiza nchi kwenye hasara kwa sababu ya ujinga wake, huwezi lazimisha negotiations iishe bila kujali nini tutapata, HGA ilikuwa inasuasua sababu ya PSA policy mpya ambayo IOCs waliona inawaminya, kwa lugha rahisi SSH anawaambia TPDC waachie chochote walichokuwa wanapigania wasaini mikataba, huu ni mkataba wa 30bn USD ( 70 trl Tzs ), haraka ni ya nini?
acha ujuaji, hujui Total waliposhindwana na Tanzania walienda kufanya huo uwekezaji Msumbiji. Samia amesema kama mradi umeshindikana ufutwe atafutwe mwekezaji mpya, miaka 6 una negotidte nini?
 
Mkataba wa 30bn USD hauwezi wekwa wazi, kama mikataba midogo tu kama ya EACOP, Bagamoyo port wanaogopa, je huu mkataba mkubwa zaidi ya yote katika historia ya nchi yetu nani atakuwa na guts za kuuweka wazi?
hakuna mkataba uliowahi kuwekwa wazi mkuu, hata hayati Magufuli mikataba mingi alificha, hayo ni mamabo ya security, kulinda maslahi ya jamuhuri na mwekezaji
 
We’re not going to see the LNG plant being constructed any time soon or at all! Investment in fossil fuels has had a downward trend lately as opposed to renewables which are gaining momentum. Apart from that, the costs are too high, 69 trillion TZS!!! No companies from the richest countries can afford to lose this capital.
Hivi hawa equinor wana nasaba gani na Pan African Energy

  • Grace Urasa
    Managing Director
  • Oystein Michelsen
    Country Manager
  • Bjorn Albert Holbaek Rasmussen
    Country Manager
  • Tim Dodson
    Senior Vice President

regarding the use of cookies.

MENUDun and Bradstreet Logo

D&B Business Directory​

Get a D&B Hoovers Free Trial

  1. HOME
  2. >BUSINESS DIRECTORY
  3. >OIL & GAS EXPLORATION & PRODUCTION
  4. >TANZANIA
  5. >DAR-ES-SALAM
  6. >EQUINOR TANZANIA AS

EQUINOR TANZANIA AS​

go to EQUINOR TANZANIA AS's websiteExternal Website. Opens New Window

ON THIS PAGE

Company Profile
PRIVATE LIMITED COMPANY INDEPENDENT
Doing Business As
STATOIL
Website
www.equinor.comExternal Website. Opens New Window
Address
1 Bains Singh Avenue, Plot 1403
Business Centre, Masaki
Dar-Es-Salam Tanzania
Phone
+255-222664059
Company Description
EQUINOR TANZANIA AS is located in Dar-Es-Salam, Tanzania and is part of the Oil & Gas Exploration & Production Industry. EQUINOR TANZANIA AS has 30 employees at this location and generates $3.89 million in sales (USD). (Sales figure is modelled).
Key Principal
Grace UrasaSee more contacts
Industry
Oil & Gas Exploration & ProductionLiquefied petroleum gases (natural) productionOil and gas exploration servicesLiquefied petroleum gases, LPG
D&B Hoovers Logo

For dynamic search and list-building capabilities, real-time trigger alerts, comprehensive company profiles, and valuable research and technology reports try D&B Hoovers for free!
Get a D&B Hoovers Free Trial

External Website. Opens New Window

Financial Statements​

Get a D&B credit report on this company

Revenue in USD​

ANNUAL REVENUE
$3.89 million USD

1 USD = 2,320.1856 TZS
Dun & Bradstreet collects private company financials for more than 23 million companies worldwide. Find out more.

Credit Reports​

See detailed business credit reports on other businesses or your own.​

Buy Credit Reports
Detailed business credit reports and tools to simplify credit decisions and manage risk
External Website. Opens New Window
Monitor, Manage, and Build Your Business Credit
Tools to help you monitor your company’s business credit scores and ratings
External Website. Opens New Window
Need 12 or more business credit reports? Look at DNBi

Company Snapshot​

Essential information for a successful call​

  • EMPLOYEES (THIS SITE)30

  • REVENUE (MIL USD)3.89

  • YEAR STARTED2007
  • INCORPORATED2007
Unlock full sales materials and reports

Related Companies​

Similar Companies
A Hoovers subscription is your VIP access to key information.
Unlock information on related companies
 
Acha ushamba Total hawajawahi fanya exploration Tz, kwa hiyo kama mkataba ni mbovu tukubali tu ili muwekezaji asiende nchi nyingine, hizi ndio akili za Rais SSH, akili za kipumbavu kabisa.
nimekuambia walishindwana wakaondoka! hiyo gas itachimbwa, tatizo ni wivu tu unakusumbua sababu uko nje ya system! hakuna mkataba ambao muwekezaji hanufaiki. mtu aweke pesa zake alaffu asinufaike! ni nani hapa tanzania mwenye uwezo wa ku invest 30 usd billions? wacha watu wa lindi wainue uchumi wao!
 
Wapigaji waliokula 10% zao wanalazimisha tuingie mkataba haraka ili wamalizane na watu wao.

Approach tuliyochukua kuanzia 2015 ilikuwa sahihi kabisa. Kama hatunufaiki hatuna sababu ya kukimbilia kupigwa labda kama tumekula hela za watu tayari.

Tayari TPDC inachimba visima viwili kwa gharama ya 230bn. Gesi itakayotoka hapo inatosheleza matumizi yetu na nyingine tunaweza kuwauzia majirani! Hiyo haraka ni kwa maslahi ya nani?

Anayesita siyo sisi bali hayo makampuni hivyo kusema majadiliano yaishe haraka maana yake negotiortors wetu wagive up maslahi ya taifa ikibidi ili mradi tu kwenda na muda! Kwa faida ya nani?

Mnaosema mama kasema kama wanazingua apewe mtu mwingine mlimsikiliza mama yupi? Maana huyu kasema huyo mwekezaji aliyepo ndiyo apewe tu tuanze naye wengine watakuja kufuata.

Haters wa Magufuli mna nodd YES kwa chochote kile asemacho huyo mama as if tukiingia hiyo mikataba ya kipuuzi inayolazimishwa watakaoingia hasara ni hao manaowaita MATAGA peke yao.

Huyo mama yenu si kwamba yeye ni innocent na hajui nini kinaendelea. Anachofanya ni kujifanya anacheza kwenye track ili isionekane ana upande. Hizo mbinu ndizo alitumia model wake wakati ule.

Anyway, huu ni mwanzo tu. Nilimsikia pia akidokeza kuhusu "industrial parks" kwamba lazima zijengwe iwe "Bagamoyo" au kwingineko;

Bagamoyo, LNG, Green Miles, Barrick, and much more to come. The old days are back.
 
Mkuu huenda unachosema now nikweli lkn unahakika kwamba mama hajapewa marejesho wa hayo mazungumzo? au kama hajapewa kwanini waliokuwa kwenye timu ya majadailiano hawajasema walipofikia

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kauli zina message nyingine ambazo azijatamkwa. Mtu aliekuwa briefed in detail hawezi kusema malizeni haraka hayo majadiliano.

Kumbuka sio kwamba hao watu hawajakutana kabisa, the mere fact gharama za LNG zinaeleweka ina maana majadiliano yalishaanza.

Pili ukishatoa licence ya watu kutafuta visima (exploration) wakivipata vyenye commercial reserve wanakuwa na exclusive right za ku extract pia ndio maana hayati alituambia sasa hivi vinawenyewe, majadaliano yanabaki kwenye sehemu sita kuu; technical, commercial, environmental, social, economic and political.

Technical na commercial ndio asilimia kubwa ya mjadala na ndio source ya migogoro ya baadae it is a very complicated area inayoweza kuchukua muda kila mtu akilinda maslahi yake.

Sasa sidhani kama issue ya kusimama kwa negotiations kwa sasa ni kwa sababu watu wanadengua la hasha lazima ni kwenye kulinda maslahi maana exclusive right za kuchimba zimeshauzwa tayari, kilichobaki sisi tunapata nini yakishatoka.
 
Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.

P
natamani SSH aachane kwanza na project kubwa kama hizi kwanza mpaka amalize mda wake. akija mtu ambae ana balls za kusema no kama JPM ndio afanye hivi vitu.
 
Huu mradi na Bagamoyo ndio miradi ya uhakika kutiliwa mkazo itekelezwe lakini ule wa bomba la mafuta ya Uganda inaonekana Total na washirika wake hawana nia ya kujenga wanapiga dana dana sasa ni juu ya Uganda atajua cha kufanya
 
Unaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
Kwani hawana uwezo wa kumweleza Kiongozi kama mchakato unalipa au la!?
 
Issue sio kuweka wazalendo kwenye majadiliano, isipokuwa nature ya majadiliano ya Oil and Gas yenyewe ni back and forth. Waganda wasingekuwa na msimamo wangepata mkataba mmbaya.

Museveni aliweka environmental conditions na project kadhaa ambazo lazima zifanyike kwanza kabla ya bomba la mafuta kujengwa, that is on top of other concession agreements.

Tullow walipoona awawezi hizo conditions mpya wakauza share zao mziki ukabaki wa CNOOC na Total wakidai awawezi fidia costs za Tullow. Ndio kilichochelewesha bomba kujengwa kwa zaidi ya miaka 5 mpaka wawekezaji wenyewe waka backup sio Museveni.

Mtu hajui majadiliano yamekwama wapi anatoka anatoa pressure tu malizeni, matokeo yake week chache baadae watu kwa kuogopa kupoteza mkate wao wanajikuta wanalazimika sasa kukutana na wawekezaji, it’s simple to see who will have the upper hand in that negotiation na mama mwenyewe sidhani ata anajua ni wapi haswa waliposhindana. Walau huko Uganda walisema tatizo lilipo kwenye media sisi kwetu siri.

Hiyo mikataba finance zake ni very complicated na hao watu wanauzoefu ukiendekeza njaa imekula kwako.
Nani kakwambia hajui? Alijuaje kwamba mazungumzo yamekwama?

Haya bomba limejengwa?
 
Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.

P
We Mwana Wa Mayalla,umetafasiri vipi hapa.."Majadiliano Yaendelee....?
 
Kauli zina message nyingine ambazo azijatamkwa. Mtu aliekuwa briefed in detail hawezi kusema malizeni haraka hayo majadiliano.

Kumbuka sio kwamba hao watu hawajakutana kabisa, the mere fact gharama za LNG zinaeleweka ina maana majadiliano yalishaanza.

Pili ukishatoa licence ya watu kutafuta visima (exploration) wakivipata vyenye commercial reserve wanakuwa na exclusive right za ku extract pia ndio maana hayati alituambia sasa hivi vinawenyewe, majadaliano yanabaki kwenye sehemu sita kuu; technical, commercial, environmental, social, economic and political.

Technical na commercial ndio asilimia kubwa ya mjadala na ndio source ya migogoro ya baadae it is a very complicated area inayoweza kuchukua muda kila mtu akilinda maslahi yake.

Sasa sidhani kama issue ya kusimama kwa negotiations kwa sasa ni kwa sababu watu wanadengua la hasha lazima ni kwenye kulinda maslahi maana exclusive right za kuchima zimeshauzwa tayari, kilichobaki sisi tunapata nini yakishatoka.
Kwa hiyo way forward ni ipi?
 
Issue sio kuweka wazalendo kwenye majadiliano, isipokuwa nature ya majadiliano ya Oil and Gas yenyewe ni back and forth. Waganda wasingekuwa na msimamo wangepata mkataba mmbaya.

Museveni aliweka environmental conditions na project kadhaa ambazo lazima zifanyike kwanza kabla ya bomba la mafuta kujengwa, that is on top of other concession agreements.

Tullow walipoona awawezi hizo conditions mpya wakauza share zao mziki ukabaki wa CNOOC na Total wakidai awawezi fidia costs za Tullow. Ndio kilichochelewesha bomba kujengwa kwa zaidi ya miaka 5 mpaka wawekezaji wenyewe waka backup sio Museveni.

Mtu hajui majadiliano yamekwama wapi anatoka anatoa pressure tu malizeni, matokeo yake week chache baadae watu kwa kuogopa kupoteza mkate wao wanajikuta wanalazimika sasa kukutana na wawekezaji, it’s simple to see who will have the upper hand in that negotiation na mama mwenyewe sidhani ata anajua ni wapi haswa waliposhindana. Walau huko Uganda walisema tatizo lilipo kwenye media sisi kwetu siri.

Hiyo mikataba finance zake ni very complicated na hao watu wanauzoefu ukiendekeza njaa imekula kwako.
Sijaelewa hapa upi ni ufumbuzi sasa,kutojadili kabisa au nini kifanyike zaidi?
 
Majadiliano yoyote ni back and forth. Kama una watu wasio vilaza huwezi kuwa unafanya majadiliano kwa miaka 6. Vinginevyo hiyo timu ya majadiliano hawajui wanataka nini.

Museveni aliweka environmental conditions gani kwenye Hilo bomba la mafuta la Uganda ikiwa mabenki makubwa mengi yamekataa tena kuikopesha hiyo project kwa sababu za kimazingira na uharibifu wa maisha ya watu unaotegemewa??

Hakuna anayefahamu kitu gani kipo kwenye huo mkataba wa bomba la mafuta la Total tofauti ya Museveni, Samia na watu wao wachache, acha kutudaganya kwamba unafahamu huo mkataba utakuwa ni mzuri eti tu kwa sababu wawekezaji wameuziana mradi.

FF46639C-DF7C-4416-9196-57D53289A051.jpeg

Pitia hiyo article na nyingine nyingi uone sababu za kwanini huo mradi ulikwama kwanini ulisimama kwa muda mrefu baada ya kumaliza majadiliano ya msingi.
 
Back
Top Bottom