Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
acha ujuaji, hujui Total waliposhindwana na Tanzania walienda kufanya huo uwekezaji Msumbiji. Samia amesema kama mradi umeshindikana ufutwe atafutwe mwekezaji mpya, miaka 6 una negotidte nini?SSH is naive, anaenda kuingiza nchi kwenye hasara kwa sababu ya ujinga wake, huwezi lazimisha negotiations iishe bila kujali nini tutapata, HGA ilikuwa inasuasua sababu ya PSA policy mpya ambayo IOCs waliona inawaminya, kwa lugha rahisi SSH anawaambia TPDC waachie chochote walichokuwa wanapigania wasaini mikataba, huu ni mkataba wa 30bn USD ( 70 trl Tzs ), haraka ni ya nini?