LNG plant in Lindi

LNG plant in Lindi

SSH na TPDC nani ana taarifa sahihi zaidi? Kuna umuhimu gani wa kuingia mkataba mkubwa namna hiyo kwa dharura?
hakuna dharura, bali amesema mazungumzo yaendelee, kumbuka mama samia alikuwa makamu wa rais anajua kinachoendelea, na kwa nini mazungumzo yalikwana,0 na nani alikwamisha.
 
Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.

P

Sijakupata vizuri,
kwa hiyo hata kama wanatuibia tulainike tuu, au tukubali tuu. Tukumbuke usia wa Mwl. JK Nyerere. Maana wewe unazungumziaga karma au vitu kama hivyo. Tukiiuza nchi yetu, makaburi yetu hayatabaki salama. Kizazi kijacho, watakuja na magreda na kusambalatisha makaburi yetu yote, yaani tufutike kabisa katika historia. Kwa maana sisi tulikuwa washenzi tukauza urithi wao kwa mchuzi wa dengu.
 
hakuna dharura, bali amesema mazungumzo yaendelee, kumbuka mama samia alikuwa makamu wa rais anajua kinachoendelea, na kwa nini mazungumzo yalikwana,0 na nani alikwamisha.

Suala siyo nani alikwamisha. Bali ni nini kilikwamisha!!!?
 
hakuna nchi ambayo haina corrupt, kinachotakiwa ni kuwa na mkataba wenye maslahi kwa wote, sio kupinga kila kijtu anachofanya Rais, inawezekana kuna watu walikuwa na maslahi yao binafsi ndio maana ukachelewa!
Nani kasema kuna nchi isiyo na corruption? Corruption zinazidiana. Ni jukumu la viongozi kupigana kwa nguvu ili zipunguwe kabisa na kila anayekamatwa aadhibiwe.
 
Kauli zina message nyingine ambazo azijatamkwa. Mtu aliekuwa briefed in detail hawezi kusema malizeni haraka hayo majadiliano.

Kumbuka sio kwamba hao watu hawajakutana kabisa, the mere fact gharama za LNG zinaeleweka ina maana majadiliano yalishaanza.

Pili ukishatoa licence ya watu kutafuta visima (exploration) wakivipata vyenye commercial reserve wanakuwa na exclusive right za ku extract pia ndio maana hayati alituambia sasa hivi vinawenyewe, majadaliano yanabaki kwenye sehemu sita kuu; technical, commercial, environmental, social, economic and political.

Technical na commercial ndio asilimia kubwa ya mjadala na ndio source ya migogoro ya baadae it is a very complicated area inayoweza kuchukua muda kila mtu akilinda maslahi yake.

Sasa sidhani kama issue ya kusimama kwa negotiations kwa sasa ni kwa sababu watu wanadengua la hasha lazima ni kwenye kulinda maslahi maana exclusive right za kuchimba zimeshauzwa tayari, kilichobaki sisi tunapata nini yakishatoka.
Bado Mimi naamini hiki unachosema lkn tuwe wakweli 6yrs!!! tunajadili nini

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
SSH ni mpiga porojo, hana utaalamu wowote zaidi ya social works, kazi aliyofanya kwa muda mrefu ukiondoa siasa ni mwanaharakati wa NGO, uwezo wake wa kufikiria ni very questionable, maamuzi yake yapo ili ku please watu na makundi na sio kutatua tatizo kwa muda mrefu.
Muhimu awe na vision mlituletea dakitari wa mafuta ya korosho yalitokea sote tunajua

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Sijakupata vizuri,
kwa hiyo hata kama wanatuibia tulainike tuu, au tukubali tuu. Tukumbuke usia wa Mwl. JK Nyerere. Maana wewe unazungumziaga karma au vitu kama hivyo. Tukiiuza nchi yetu, makaburi yetu hayatabaki salama. Kizazi kijacho, watakuja na magreda na kusambalatisha makaburi yetu yote, yaani tufutike kabisa katika historia. Kwa maana sisi tulikuwa washenzi tukauza urithi wao kwa mchuzi wa dengu.
Unamiaka mingapi tangu Uhuru umeweza nini mpaka Sasa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
hakuna dharura, bali amesema mazungumzo yaendelee, kumbuka mama samia alikuwa makamu wa rais anajua kinachoendelea, na kwa nini mazungumzo yalikwana,0 na nani alikwamisha.
Kuna dharula, sababu ametoa agizo au amri mazungumzo yaishe, yeye anachotaka ni kuwafurahisha wawekezaji wampambe kwenye magazeti yao huko, hajali huo mkataba utawanufaisha Tz au lah, she’s so naive...
 
Si Baba Magu alisema huu mradi mabeberu wanachukua gesi na kupeleka kwao bila gesi kuwa na tija kwetu?
 
Unaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
Na kumbuka, wengi wa hao 'negotiators' nao wana njaa ya kutambuliwa na uteuzi, au hata kupata chochote toka kwa hao wanao'negotiate' naye.

Anyways, ngoja tusubiri kuona anakosimamia huyu mama.

Hapo ni kama ametoa amri, 'negotiators' wetu walegee!
 
Bongo kila mtu mjuaji. Hata kila kama huyu naye ni mtaalamu kushinda walioko huko. Inasikitisha sana.
Hakuna negotiation rahsi. Mi Naona walikiwa kwenye right track. Yakitichachia siyo kwamba yanazaliwa Kwa Jirani then atupihe nao .Maza atulize JPM kaacha negotion team matata ambayo hatujawahi kuwa nayo kama haitabadirika
 
acha ujuaji, hujui Total waliposhindwana na Tanzania walienda kufanya huo uwekezaji Msumbiji. Samia amesema kama mradi umeshindikana ufutwe atafutwe mwekezaji mpya, miaka 6 una negotidte nini?
Hapana.

Siyo negotiation ya miaka 6, na wewe unajua hilo sio kweli.
Mazungumzo yalisimama kupisha marekebisho iliyotaka kuyafanya serikali kwenye uwekezaji wa aina hii; muda huo nao unauhesabu kama sehemu ya miaka 6?

Si hayo iliyonuia kurekebisha serikali ndiyo yamekuwa kikwazo kwa mazungumzo kuendelea?

Kwa hiyo, Samia anasemaje, anayatupilia mbali hayo yaliyokuwa yakifanywa na serikali, ili negotiation iendelee toka pale walipokuwa wamefikia kabla ya marekebisho ya serikali?

Haya ndiyo yanayotakiwa kujadiliwa vizuri. Tusiyavungevunge tu humu na kutaka kuaminisha wengine kuwa mazungumzo yalichukua muda mrefu bila ya matokeo.
 
SSH is naive, anaenda kuingiza nchi kwenye hasara kwa sababu ya ujinga wake, huwezi lazimisha negotiations iishe bila kujali nini tutapata, HGA ilikuwa inasuasua sababu ya PSA policy mpya ambayo IOCs waliona inawaminya, kwa lugha rahisi SSH anawaambia TPDC waachie chochote walichokuwa wanapigania wasaini mikataba, huu ni mkataba wa 30bn USD ( 70 trl Tzs ), haraka ni ya nini?
Kwa hiyo wewe unaufahamu mradi huu kuliko yeye anayekomand vyombo mbalimbali vya serikali?

Acheni ujuaji wa kupitiliza na chuki zisizo na sababu.

Mumuache mama afanye maamuzi bila kumuwekea mashinikizo yasiyo na maana na vitisho.
 
Back
Top Bottom