Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Wanajadili miaka mingapi? Kwani wameondolewa?Kuwaacha watalaamu tuliowachagua na kuwaamini kusimamia majadiliano kwa kutumia negotiation tactic zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajadili miaka mingapi? Kwani wameondolewa?Kuwaacha watalaamu tuliowachagua na kuwaamini kusimamia majadiliano kwa kutumia negotiation tactic zao.
ungetueleza ni kitu gani kilikwamisha hayo mazungumzo, la sivyo kama hujui bora unyamaze, mama ana taarifa zote anajua anachofanyaMama ametoa pressure watu warudi mezani, huko ndio kuwapangia kwenyewe.
Jiwe mtaalam wa kila kitu alifanya nn cha maana zaidi ya kuwa jizi na kutuletea hasara nchini?SSH ni mpiga porojo, hana utaalamu wowote zaidi ya social works, kazi aliyofanya kwa muda mrefu ukiondoa siasa ni mwanaharakati wa NGO, uwezo wake wa kufikiria ni very questionable, maamuzi yake yapo ili ku please watu na makundi na sio kutatua tatizo kwa muda mrefu.
Wewe jamaa nimekusoma mara nyingi sana humu.? Kwanza huna chochote unachokijua. Pili umeweka chuki zako tu na Mama Samia kwa sababu kwa sababu humpendi na hukuwai kumpenda.Walau Magufuli was not complacent on technical matters, asipopaelewa hashinikizi sana analaumu hao watu wanamkera lakini hatoi force.
Mfano Magufuli katika taasisi ambazo zilikuwa zinamkera ni NEMC lakini hakuna hata siku moja alilazimisha waache kufuata process zao if anything alitaka ziwe za haraka tu.
Magufuli akiongelea technical issues za miradi pamoja na kuongezea chumvi zake ukija kusikiliza maelezo ya mtaalamu unaona kabisa pamoja na hayati ku twist mambo kadhaa kwa kile anachoamini (either ana support project au against) kwenye maelezo ya wataalamu unaona he was detailed briefed on the basis of the empasse sema tu amechagua upande. As a politician kwenye kuelezea umma anakuwa biased based on what he believes to be the right course of action.
Sasa mtu anatoka tu na kuwapa watu pressure bila ya ata kusema jambo fulani specific malizeni wakati negotiations ni tactic that’s just complacency at best.
Magufuli hakuwa na muda na miradi ya desi. Full stop. Yeye aliona ni kuwafaidisha Lindi na Mtwara ambao kwake hawakuwa wa maana sana na ndo mana aliwaharibia soko la Korosho na kutishia kuwapiga shangazi zao.Hakuna negotiation rahsi. Mi Naona walikiwa kwenye right track. Yakitichachia siyo kwamba yanazaliwa Kwa Jirani then atupihe nao .Maza atulize JPM kaacha negotion team matata ambayo hatujawahi kuwa nayo kama haitabadirika
Chuki zao kwa mama zinawafanya wamzushie mambo kwa sababu tu Mama hataki uzandiki na ufedhuli wao. Mkataba gani unanegotiate kwa miaka 6??? Hata mwenye fedha anaweza kukuona kuwa hauna haraka ya maendeleo.hakuna dharura, bali amesema mazungumzo yaendelee, kumbuka mama samia alikuwa makamu wa rais anajua kinachoendelea, na kwa nini mazungumzo yalikwana,0 na nani alikwamisha.
Tafuta juice ya ndimu unywe hapo chatoHana vision, she’s narrow minded & easily manipulated, unaweza mteka hata kwa kumsifia tu few tweets na akaona unampenda kumbe anang’ong’wa tu:
Zile negotiation za Makinikia Trillion 200 tulilipwa??Hana vision, she’s narrow minded & easily manipulated, unaweza mteka hata kwa kumsifia tu few tweets na akaona unampenda kumbe anang’ong’wa tu:
Zile ni claims, hizi ni negotiations za mkataba mpya, ni mpumbavu tu atakayekubali kupigwa mara mbili, SSH anaikimbilia hiyo tuzo kwa kasi sana...Zile negotiation za Makinikia Trillion 200 tulilipwa??
Kwa wanao elewa how actually things wanaona natokea wapi, so sioni tatizo wewe kuona kama vile ni hate, people differ in their level of perception.Wewe jamaa nimekusoma mara nyingi sana humu.? Kwanza huna chochote unachokijua. Pili umeweka chuki zako tu na Mama Samia kwa sababu kwa sababu humpendi na hukuwai kumpenda.
Magufuli kama hakuwai kuwa complacent on technical issues why mwendokasi ilijenwa jangwani wakati panajulikana hapafai kuwa na ujenzi wowote na yeye ndo alikuwa waziri wa ujenzi?? Why alilazimisha sera zilizokuwa zinaua biashara Kama sera ya kuingilia soko la korosho??
Embu nikwambie, kama imechukua miaka chini ya 3 kujadili issue ya makinikia kwa nini ichukue miaka zaidi ya 6 kujadili suala la gesi??? Kuna nini kwenye gesis hadi tuchelewe?? Jambo lipi la msingi linalochelewesha??? Kama Sheria Bora tunazo alizotungaa Kikwete sasa tunakwama wapi???
Wewe lazima utakuwa pandikizi la nchi jirani ambae hamtaki Tanzania tuwe na miradi ya kimkakati ya ukweli ambayo ndo italikomboa Kweli Taifa letu kiuchumi badala yake mnataka tujenge tu mireli ambayo hata hatuna uhakika kama itaendeshwa kwa faida kwa sababu reli zilizopo hazina faida zozote za msingi.
Acheni watanzania kweli tuamue hatma ya maendeleo ya Tanzania yetu na nyie wa Burundi rudini kwenu mkapigane vita na roho zenu mbaya huko
Kitendo cha ku push negotiators hadharani tu wakamalize majadiliano inaonyesha hajui, vinginevyo angewaita privately wakamalize kuliko kuwapa bargaining power investors publicly.ungetueleza ni kitu gani kilikwamisha hayo mazungumzo, la sivyo kama hujui bora unyamaze, mama ana taarifa zote anajua anachofanya
Hiyo PSA Policy ambayo IOCs waliona inawaminya, ilikuwa inawaminya kivipi hebu iweke hapa tuone, unapo sema hasara kubwa ni hasara gani?SSH is naive, anaenda kuingiza nchi kwenye hasara kwa sababu ya ujinga wake, huwezi lazimisha negotiations iishe bila kujali nini tutapata, HGA ilikuwa inasuasua sababu ya PSA policy mpya ambayo IOCs waliona inawaminya, kwa lugha rahisi SSH anawaambia TPDC waachie chochote walichokuwa wanapigania wasaini mikataba, huu ni mkataba wa 30bn USD ( 70 trl Tzs ), haraka ni ya nini?
Kwani mkuu wamalize negotiations mapema unaelewa nini?SSH ameshatoa agizo TODC wamalize negotiations haraka, hizi ni akili kweli, hivi unafikiria saivi TPDC wakiwa wanaingia kwenye chumba cha majadiliano watakuwa wana uwezo kukataa chochote huku tayari wamesha agizwa wasaini mkataba haraka ?
LNG ni good project ila nataka niweke mambo kidogo yawe clear hakuna mtu anaiba ila unaweza kukubali mkataba mbaya. Kwa ujuzi wangu unapokuwa na PSA na mwekezaji unakuwa na muda maalumu na Gas sio mali ya muwekezaji. Gas ni mali ya nchi muwekezaji anatumia pesa zake kwenye mradi kuitia Gas na kuiongeza thamani sasa hapa wote wanahitajiana. Kawaida ya PSA kuna capital exp na operating cost kama wamewekeza 30 Billion unaweza kusema miaka 30 mpaka PSA iishe na serikali hawatumii hata cent ila wanapata 30% ya revenue baada ya kutoa tax na operating cost na serikali inawafidia gharama zao za uwekezaji kwa % hiyo 70 ila kila wanavyokuwa mtaji wao unarudi % ya serikali inapanda au uzalishaji ukiongezeka % ya serikali inapanda sio muwekezaji, na hii muhimu kwa sababu mnalinda prove reserve ya Gas vinginevyo wanaweza kuzalisha kwa speed na kuharibu reserve sababu wana 30 years ni lazima uko control ni muhimu sana. ila ikifika 30 years ile kampuni inabidi iachie kila kitu serikali hawaruhusiwi kuchukuwa hata kiti kwa sababu mmeshawarudishia capital yao na faida juu. swala kubwa hapa usiruhusu waongeze capital exp bila kuwa na ulazima maana wanaweza kuwa wanadai tu kwa hiyo capital exp lazima mshirika serikali aipitishe, na pia operating budget lazima serikali ipitishe sababu inapunguza faida, kuna mambo mengi yanatakiwa kufanyika mwisho wa siku mkiwa na watu waaminifu upande wa serikali mnafanya biashara vizuri tu kuna nchi kibao wanafaidika. Kitu kikubwa sana kuilinda reservoir na kujuwa je miaka 30 itakuwa imeisha kiasi gani. ikitokea wamefanya ugunduzi wa reservoir mpya au visima vipya au equipments mpya ni CAPEX wanafidiwa. natamani niandike tu ila sioni ugumu uko wapi hapa.Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.
Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...www.jamiiforums.com
P
Point kubwa nimesehau kila miaka inavyokwenda kwa kuwa mtaji unarudi % ya serikali inapanda ikifika mtaji umerudi sasa ni faida tu utakuwa kampuni 30% na serikali 70% ikiisha 30 years ni mali ya serikali 100% unless wakitaka kuwapa kama operators tu mnawapa labda 15%.LNG ni good project ila nataka niweke mambo kidogo yawe clear hakuna mtu anaiba ila unaweza kukubali mkataba mbaya. Kwa ujuzi wangu unapokuwa na PSA na mwekezaji unakuwa na muda maalumu na Gas sio mali ya muwekezaji. Gas ni mali ya nchi muwekezaji anatumia pesa zake kwenye mradi kuitia Gas na kuiongeza thamani sasa hapa wote wanahitajiana. Kawaida ya PSA kuna capital exp na operating cost kama wamewekeza 30 Billion unaweza kusema miaka 30 mpaka PSA iishe na serikali hawatumii hata cent ila wanapata 30% ya revenue baada ya kutoa tax na operating cost na serikali inawafidia gharama zao za uwekezaji kwa % hiyo 70 ila kila wanavyokuwa mtaji wao unarudi % ya serikali inapanda au uzalishaji ukiongezeka % ya serikali inapanda sio muwekezaji, na hii muhimu kwa sababu mnalinda prove reserve ya Gas vinginevyo wanaweza kuzalisha kwa speed na kuharibu reserve sababu wana 30 years ni lazima uko control ni muhimu sana. ila ikifika 30 years ile kampuni inabidi iachie kila kitu serikali hawaruhusiwi kuchukuwa hata kiti kwa sababu mmeshawarudishia capital yao na faida juu. swala kubwa hapa usiruhusu waongeze capital exp bila kuwa na ulazima maana wanaweza kuwa wanadai tu kwa hiyo capital exp lazima mshirika serikali aipitishe, na pia operating budget lazima serikali ipitishe sababu inapunguza faida, kuna mambo mengi yanatakiwa kufanyika mwisho wa siku mkiwa na watu waaminifu upande wa serikali mnafanya biashara vizuri tu kuna nchi kibao wanafaidika. Kitu kikubwa sana kuilinda reservoir na kujuwa je miaka 30 itakuwa imeisha kiasi gani. ikitokea wamefanya ugunduzi wa reservoir mpya au visima vipya au equipments mpya ni CAPEX wanafidiwa. natamani niandike tu ila sioni ugumu uko wapi hapa.
KabisaLNG ni good project ila nataka niweke mambo kidogo yawe clear hakuna mtu anaiba ila unaweza kukubali mkataba mbaya. Kwa ujuzi wangu unapokuwa na PSA na mwekezaji unakuwa na muda maalumu na Gas sio mali ya muwekezaji. Gas ni mali ya nchi muwekezaji anatumia pesa zake kwenye mradi kuitia Gas na kuiongeza thamani sasa hapa wote wanahitajiana. Kawaida ya PSA kuna capital exp na operating cost kama wamewekeza 30 Billion unaweza kusema miaka 30 mpaka PSA iishe na serikali hawatumii hata cent ila wanapata 30% ya revenue baada ya kutoa tax na operating cost na serikali inawafidia gharama zao za uwekezaji kwa % hiyo 70 ila kila wanavyokuwa mtaji wao unarudi % ya serikali inapanda au uzalishaji ukiongezeka % ya serikali inapanda sio muwekezaji, na hii muhimu kwa sababu mnalinda prove reserve ya Gas vinginevyo wanaweza kuzalisha kwa speed na kuharibu reserve sababu wana 30 years ni lazima uko control ni muhimu sana. ila ikifika 30 years ile kampuni inabidi iachie kila kitu serikali hawaruhusiwi kuchukuwa hata kiti kwa sababu mmeshawarudishia capital yao na faida juu. swala kubwa hapa usiruhusu waongeze capital exp bila kuwa na ulazima maana wanaweza kuwa wanadai tu kwa hiyo capital exp lazima mshirika serikali aipitishe, na pia operating budget lazima serikali ipitishe sababu inapunguza faida, kuna mambo mengi yanatakiwa kufanyika mwisho wa siku mkiwa na watu waaminifu upande wa serikali mnafanya biashara vizuri tu kuna nchi kibao wanafaidika. Kitu kikubwa sana kuilinda reservoir na kujuwa je miaka 30 itakuwa imeisha kiasi gani. ikitokea wamefanya ugunduzi wa reservoir mpya au visima vipya au equipments mpya ni CAPEX wanafidiwa. natamani niandike tu ila sioni ugumu uko wapi hapa.
Wewe unajua haya mambo, Tanzania ukiangalia kwenye madini tu unaona walivyopigwa.Point kubwa nimesehau kila miaka inavyokwenda kwa kuwa mtaji unarudi % ya serikali inapanda ikifika mtaji umerudi sasa ni faida tu utakuwa kampuni 30% na serikali 70% ikiisha 30 years ni mali ya serikali 100% unless wakitaka kuwapa kama operators tu mnawapa labda 15%.
Na bahati mimi nafanya kazi katika mambo haya na nilitamani na nishawahi kukutana mkuu mmoja siku nyingi nikamwambia na tamani nitoe tu msaada katika hii sector bure kabisa low profile sababu ajira ninayo nzuri tu lakini kutamani kuchangia tu na akapenda sana bahati mbaya alifariki. Sababu nilikuwa sielewi nini shida? kwanini tunashindwa kujadili PSA bora kabisa mwisho wa siku ni majadiliano lakini basic za PSA hazibadiliki.Wewe unajua haya mambo, Tanzania ukiangalia kwenye madini tu unaona walivyopigwa.
Professor Muhongo alipoletwa kutoka S.A jambo la kwanza alilofanya lilikuwa kutengeneza sheria za PSA frameworks za majadiliano. Before that hata sijui walikuwa wanaingia mikataba ya aina gani.Na bahati mimi nafanya kazi katika mambo haya na nilitamani na nishawahi kukutana mkuu mmoja siku nyingi nikamwambia na tamani nitoe tu msaada katika hii sector bure kabisa low profile sababu ajira ninayo nzuri tu lakini kutamani kuchangia tu na akapenda sana bahati mbaya alifariki. Sababu nilikuwa sielewi nini shida? kwanini tunashindwa kujadili PSA bora kabisa mwisho wa siku ni majadiliano lakini basic za PSA hazibadiliki.