Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!
Sasa huyu mama ambaye ni mwenyekiti wa WAMA anawaambia nini akina mama? Yaani watoe unyumba kwa ajili ya kura? Sophia Simba ni board member wa WAMA na aliwahi kushauri kunyima unyumba waume wa wanawake wasiokuwa wa CCM. Mbona kama wanalugha moja! Hivi WAMA ni taasisi ya CCM?
shuka kwa shuka ndio nini kwa kiswahili cha kawaida? :confused2:
Toba hii kauli imetoka kwa first lady. Hivi first lady tafusili yake kwa kiswahili nini?Unyumba kwa kiswahili cha mtaani!!! Eti upige kura baada ya kupewa unyumba WTF si naenda Joly au Salender bridge kununua samaki wako wengi tu.
Ole wake mama K aje na campaign za kuninyima haki zangu...talaka tatu mfululizo
yaelekea wewe si muumini. Situnaambiwa kwenye nyumba za ibada kuwa alichokiunganisha mungu kamwe hamna wa kukitenganisha?
Hii ni literal,ana maana wafanye kampeni kwa bidii na kumfikia kila mtu.Simple!
Hii ni literal,ana maana wafanye kampeni kwa bidii na kumfikia kila mtu.Simple!