Elections 2010 Lo! Mama Salma na kampeni za shuka kwa shuka!

Elections 2010 Lo! Mama Salma na kampeni za shuka kwa shuka!

Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!

Kwamaana hiyo TANZANIA BILA UKIMWI HAIWEZEKANI na misaada yote tunayopewa na watu wa MAREKANI (KWA MASAAADA WA WATU WA MAREKANI) haitofanya kazi.... :becky::becky::becky::becky: kazi kwelikweli hadi uchaguzi tutasikia mengi na kona mengi
 
Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!

Anaomba msaada wa kumpigia kura K... kwa kutumia mgongo wa CCM baada ya kugundua jitihada zake binafsi haziwezi kumrudisha tena Magogoni?

Ngurumo katika "Kona ya Maswali magumu" aliwahi kuuluza "Unataka uraisi kwa faida ya nani?"

Riz-one alikamilisha kazi ya kutafuta "wazamani", mama anakuja na mkakati wa kutafuta wapiga kura, let us wait for plan C kuona watu wanaipigia kuipigia kura SemCem a.ka. kumrudisha Mzee magogoni.
 
Hii ndio CCM, na hayo ndio mambo yake
Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!

Sasa huyu mama ambaye ni mwenyekiti wa WAMA anawaambia nini akina mama? Yaani watoe unyumba kwa ajili ya kura? Sophia Simba ni board member wa WAMA na aliwahi kushauri kunyima unyumba waume wa wanawake wasiokuwa wa CCM. Mbona kama wanalugha moja! Hivi WAMA ni taasisi ya CCM?
 
shuka kwa shuka ndio nini kwa kiswahili cha kawaida? :confused2:

yaani shuka kwa shuka maana yake uombwe kura wakati mmejifunika na mnafanya mambo ya kujifunika na shuka...halafu huyo ndo first lady!!! kazi ipo .badala ya kufikiria mambo ya maana anawaza kucheza kiduku
 
Jana katinga Dodoma kwa ndege ya serikali.....hizi gharama CCM wanarudisha serikalini kweli?
 
Jana katinga Dodoma kwa ndege ya serikali.....hizi gharama CCM wanarudisha serikalini kweli?

mi ndo maana nilisema hii sheria ya uchaguzi hawawezi kuitekeleza hata iweje...mbona vyama vingine havipewi hiyo ndege viitumie hata kama ni kwa kulipa
 
Hii ni literal,ana maana wafanye kampeni kwa bidii na kumfikia kila mtu.Simple!

Kwenye mashuka nako wanaenda kufanya kampeni gani!!! na mie nikilala mtupu (kama nilivyozaliwa maana bongo joto kali) wakija kwenye shuka wanakuja kufanya nini? Kweli wewe umetoa tafsiri mpya.
 
Kampeni ya shuka kwa shuka hii si ni rushwa ya ngono wakubwa? - Ndani ya shuka na shuka kuna nini? Sheria ya uchaguzi haikuongelea kipengele hiki? TAKUKURU nipeni mfafanuzi.
 
Jana katinga Dodoma kwa ndege ya serikali.....hizi gharama CCM wanarudisha serikalini kweli?

Mkubwa tumeshalalamika sana tukaambiwa ni vigumu kutenganisha shughuli za kichama na kiserikali kwa viongozi wenye kofia mbili - sasa tunaoumia na mfumo huu ni sisi walipa kodi, je maumivu haya mpaka lini?
 
yaani shuka kwa shuka maana yake uombwe kura wakati mmejifunika na mnafanya mambo ya kujifunika na shuka...halafu huyo ndo first lady!!! kazi ipo .badala ya kufikiria mambo ya maana anawaza kucheza kiduku

madaraka yanatoa watu fahamu!
 
Mhh nakumbuka marehemu Ac aliwahi mwambia mama hoja zako hazina mvuto :smile-big::smile-big:
u

Mungu Amlaze pema msichana Mrembo, mwenye ujasiri wa Kipekee.
Dhambi ya CCM kumtelekeza binti Amina Chifupa, mpaka mauti yake yenye utata ndiyo inawatafuna CCM na mwisho wao hauko mbali
 
go on mama salma.....tell the truth...nitamfikia hata yule ninayejifunika naye shuka moja....na kumueleza kuwa kuna watu wanaomba kura siku ikifika
 
u

Mungu Amlaze pema msichana Mrembo, mwenye ujasiri wa Kipekee.
Dhambi ya CCM kumtelekeza binti Amina Chifupa, mpaka mauti yake yenye utata ndiyo inawatafuna CCM na mwisho wao hauko mbali

SASA CHADEMA MWAFIKA MBALI.......NDO MAANA MKAMPA MBUNGE WENU KIJANA AIBOMOE NYUMBA YAKE HADHARANI...? KAULIZE HOLIDAY INN (nadhani sasa ina jina jipya) JINSI MBUNGE WA CHADEMA KABWELA ALIVYOKUWA AKIFANYA NA MAREHEMU HUYO.....SASA HAPO DHAMBI YA CCM?
 
na pesa zote hizi zilizotumika hapa kumsafirisha na kumgharimia huyu mama, angalau angesema cha maana kidogo
 
Back
Top Bottom