Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 214
Asante kwa kututafsiria...changanya na zako...
Achanganye na shuka au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kututafsiria...changanya na zako...
Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!
Kwamaana hiyo TANZANIA BILA UKIMWI HAIWEZEKANI na misaada yote tunayopewa na watu wa MAREKANI (KWA MASAAADA WA WATU WA MAREKANI) haitofanya kazi.... :becky::becky::becky::becky: kazi kwelikweli hadi uchaguzi tutasikia mengi na kona mengi
Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!
Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!
Sasa huyu mama ambaye ni mwenyekiti wa WAMA anawaambia nini akina mama? Yaani watoe unyumba kwa ajili ya kura? Sophia Simba ni board member wa WAMA na aliwahi kushauri kunyima unyumba waume wa wanawake wasiokuwa wa CCM. Mbona kama wanalugha moja! Hivi WAMA ni taasisi ya CCM?
Ndio uwezio wa kufikiri first Lady wetu,
Mungu waondoe waswali ikulu
shuka kwa shuka ndio nini kwa kiswahili cha kawaida? :confused2:
Jana katinga Dodoma kwa ndege ya serikali.....hizi gharama CCM wanarudisha serikalini kweli?
Hii ni literal,ana maana wafanye kampeni kwa bidii na kumfikia kila mtu.Simple!
Jana katinga Dodoma kwa ndege ya serikali.....hizi gharama CCM wanarudisha serikalini kweli?
yaani shuka kwa shuka maana yake uombwe kura wakati mmejifunika na mnafanya mambo ya kujifunika na shuka...halafu huyo ndo first lady!!! kazi ipo .badala ya kufikiria mambo ya maana anawaza kucheza kiduku
uMhh nakumbuka marehemu Ac aliwahi mwambia mama hoja zako hazina mvuto :smile-big::smile-big:
u
Mungu Amlaze pema msichana Mrembo, mwenye ujasiri wa Kipekee.
Dhambi ya CCM kumtelekeza binti Amina Chifupa, mpaka mauti yake yenye utata ndiyo inawatafuna CCM na mwisho wao hauko mbali