Loan appealing

Arsenalist

Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
74
Reaction score
46
Jamani kwa anaejua procedure za kuappeal juu ya kukosa loan anisaidie. Maana I have not secured mpaka sasa.
 
Weeee hao jamaaa wasanii hakuna lolote mi nimeappeal toka mwaka jana hakuna majibu mpaka leo. Offcourse ni usanii mtupu na ukiwauliza mara ha2jatangaza rasmi, mara wengne wanasema 2shatoa majina tayari ambayo hayapo officially hata kwenye website yao
 
Diploma nimemamaliza 2011 eti wanasema sababu ya kukosa mkopo ni kuwa nimemamiliza diploma zaidi ya miaka mitatu nyuma,kweli haki hiiii
 
...bongo ni cheni bandia kwa dola feki,hamnaga halali...
 
Jamani kwa anaejua procedure za kuappeal juu ya kukosa loan anisaidie. Maana I have not secured mpaka sasa.
Mpaka ukishaenda chuo na baada ya wa2 wote kureport,,kuappeal huwa wanatoa tangazo wenyewe loan board af wa2 wanaappeal online,,but utatakiwa kulipia sh 5000 kupitia m pesa au airtel money,,baada ya hapo form zako utakazodownload na ku print ni lazima zigongwe muhuri na kusainiwa na burser wa chuo,,alafu unapeleka ofisi ya wahasibu wengne au yeyote ambaye atakuwa responsible kuzipeleka loan board kwa mkono wake but cyo mwanafunzi......,,majibu huwa yanatoka ndani ya siku 90(3months)but usishangae ikawa ndo imetoka usione kilichoendelea zaidi ya kuwanufaisha wao 2....ndo hao wezi wanavyo2ibia na mikopo ha2pati,,,niliappeal mwaka jana pakawa kimya na ikabidi niapply upya na pia nimekosa,,
 
kunani paleee tz..mbona kila kitu pale ni siasa..tz, mbona maisha yake yanasikitiasha tz
 
actually with loanboard it is a total bullshit. appealing is just bt a nightmare.
 
Stauuuu hako kajamaaa mbona kanajifanya kufuatilia herufi na matamshi hakana cha kuonge niini?
 
Diploma nimemamaliza 2011 eti wanasema sababu ya kukosa mkopo ni kuwa nimemamiliza diploma zaidi ya miaka mitatu nyuma,kweli haki hiiii
Mi nimemaliza mwaka 2012 July lakini naambiwa nimemaliza miaka mitatu nyuma.
 
So twafanyaje sasa mkuu
Tuwafuate hata wasipotupa mikopo lakini wajue tanzania ya leo ipo macho si wanaandika ilimradi wameeandika then wanasubiri mishaahara kwa kodi zetu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…