Arsenalist
Member
- Oct 4, 2013
- 74
- 46
Jamani kwa anaejua procedure za kuappeal juu ya kukosa loan anisaidie. Maana I have not secured mpaka sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diploma nimemamaliza 2011 eti wanasema sababu ya kukosa mkopo ni kuwa nimemamiliza diploma zaidi ya miaka mitatu nyuma,kweli haki hiiii
hata mimi hivo hivo mkuu
Mpaka ukishaenda chuo na baada ya wa2 wote kureport,,kuappeal huwa wanatoa tangazo wenyewe loan board af wa2 wanaappeal online,,but utatakiwa kulipia sh 5000 kupitia m pesa au airtel money,,baada ya hapo form zako utakazodownload na ku print ni lazima zigongwe muhuri na kusainiwa na burser wa chuo,,alafu unapeleka ofisi ya wahasibu wengne au yeyote ambaye atakuwa responsible kuzipeleka loan board kwa mkono wake but cyo mwanafunzi......,,majibu huwa yanatoka ndani ya siku 90(3months)but usishangae ikawa ndo imetoka usione kilichoendelea zaidi ya kuwanufaisha wao 2....ndo hao wezi wanavyo2ibia na mikopo ha2pati,,,niliappeal mwaka jana pakawa kimya na ikabidi niapply upya na pia nimekosa,,Jamani kwa anaejua procedure za kuappeal juu ya kukosa loan anisaidie. Maana I have not secured mpaka sasa.
me et wamexema ela imeisha
me et wamexema ela imeisha
iliyoisha ni hela na siyo ela!
Mi nimemaliza mwaka 2012 July lakini naambiwa nimemaliza miaka mitatu nyuma.Diploma nimemamaliza 2011 eti wanasema sababu ya kukosa mkopo ni kuwa nimemamiliza diploma zaidi ya miaka mitatu nyuma,kweli haki hiiii
Tuwafuate hata wasipotupa mikopo lakini wajue tanzania ya leo ipo macho si wanaandika ilimradi wameeandika then wanasubiri mishaahara kwa kodi zetu tena.So twafanyaje sasa mkuu