Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Habari zenu wana jf
wale waliokua wanasubiri kuanza application za mkopo hii ndo time yao
kuanzia april 16 2014 na mwisho wa kupokea maombi ni 30 june 2014
SOURCE
HESLB website
Subiri,
Kama bado form six piga paper kwanza andaa viambatisho vyote then result zikiwa out utaapply but ukiweza chukua form napema baada ya paper & kabla ya kwenda JKT.
Ingia hapa........
GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENT LOANS AND GRANTS FOR 2014/2015 ACADEMIC YEAR
bodi ya mikopo haihusiani na matokeo ya advance hata kidogo.note,hata kama matokeo hayajatoka unaomba tu mkopojamani me naomba kufahamishwa kuhusu hiyo deadline tareh 30 june,kwahiyo watu tutaomba mikopo wakat matokeo bado hayajatoka au?
Jamani me naomba kufahamishwa kuhusu hiyo deadline tareh 30 june,kwahiyo watu tutaomba mikopo wakat matokeo bado hayajatoka au?
Subiri,
Kama bado form six piga paper kwanza andaa viambatisho vyote then result zikiwa out utaapply but ukiweza chukua form napema baada ya paper & kabla ya kwenda JKT.
Ingia hapa........
GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENT LOANS AND GRANTS FOR 2014/2015 ACADEMIC YEAR
samahani aisee kwa sisi ambao tulisha wahi pata ile asilimia 25 tunalipa kabla au baada ya kuapply msaada kwa anayejua hili