Loan application for higher education 2014/2015 start on 16 april 2014

Loan application for higher education 2014/2015 start on 16 april 2014

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
619
Habari zenu wana JF,

Wale waliokua wanasubiri kuanza application za mkopo hii ndo time yao kuanzia april 16 2014 na mwisho wa kupokea maombi ni 30 june 2014

SOURCE :HESLB website
 
Habari zenu wana jf
wale waliokua wanasubiri kuanza application za mkopo hii ndo time yao
kuanzia april 16 2014 na mwisho wa kupokea maombi ni 30 june 2014

SOURCE
HESLB website

Jamani me naomba kufahamishwa kuhusu hiyo deadline tareh 30 june,kwahiyo watu tutaomba mikopo wakat matokeo bado hayajatoka au?
 
Subiri,
Kama bado form six piga paper kwanza andaa viambatisho vyote then result zikiwa out utaapply but ukiweza chukua form napema baada ya paper & kabla ya kwenda JKT.

Ingia hapa........

GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENT LOANS AND GRANTS FOR 2014/2015 ACADEMIC YEAR

Ndio mkuu nmekusoma vizuri na nimeingia hapo.mimi swali langu nikwamba heslb wamesema mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 june,sasa mpaka tareh hiyo nahisi matokeo yatakua bado.Umesema tunaweza kusubiri mpaka matokeo yatoke ndio tuombe,je hatutakuwa tumechelewa kwa sababu deadline ni 30/6/2014?
 
Kwaiyo mkuu hii ni issue ya mkopo pekeyake na sio kutuma maombi ya vyuo(TCU) Au vyote vinafanyika muda huohuo wakutuma maombi ya mkopo? naomba utusaidie apo mkuu.
 
jamani me naomba kufahamishwa kuhusu hiyo deadline tareh 30 june,kwahiyo watu tutaomba mikopo wakat matokeo bado hayajatoka au?
bodi ya mikopo haihusiani na matokeo ya advance hata kidogo.note,hata kama matokeo hayajatoka unaomba tu mkopo
 
samahani aisee kwa sisi ambao tulisha wahi pata ile asilimia 25 tunalipa kabla au baada ya kuapply msaada kwa anayejua hili
 
samahani aisee kwa sisi ambao tulisha wahi pata ile asilimia 25 tunalipa kabla au baada ya kuapply msaada kwa anayejua hili

hapo nnavyojua unatakiwa ulipe baada ya kuona jna lako kuwa umepata mkopo baada ya kuapply coz kuna rafk yangu alapply mkopo ila jna lake lilikuwepo kwa wale wanaotakiwa kulipa 25% kwanza il aonekane amepata mkopo na inategemea umemalza form 6 mwaka gan coz mwaka huu naona kuna limitation,wanaotakiwa kuapply n wa 2012-2014
 
Back
Top Bottom