Loan board! Kubalini Namba za NIDA kwa applicants. Vitambulisho hazitolewi ndani ya muda

Loan board! Kubalini Namba za NIDA kwa applicants. Vitambulisho hazitolewi ndani ya muda

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
2,887
Reaction score
5,687
Vijana wengi form six leaver hawana card ya NIDA hivyo huanza kuitafuta pindi wamalizapo shule kwa ajili ya loarn application.

Hata hivyo card ya NIDA haipatikani ndani ya mda kinachopatikana ndani ya mda ni Namba. Tambueni hilo. Nyie ni ,mamlaka ya serikali hivyo mnajua kinachoendelea .

Tambueni na tumieni namba ya Nida kwa vijana ambao bado hawajapata kadi wapate mikopo .
 
Uzembe wa NIDA. Huyo mkurugenzi na watumishi wake inatakiwa wafanyiwe reshuffle. Haiwezekani kadi hazitoki zaidi ya miaka hata mitano. Kuhitajika kwa namba pia nayo ni dosari au mpango unao halalisha ucheleweshwaji wa kadi
 
Andika number ya NIDA kwenye kikaratasi then waandikie kuwa hujapata kadi ya NIDA bado,iambatanishe na hiyo form yako.
 
Andika number ya NIDA kwenye kikaratasi then waandikie kuwa hujapata kadi ya NIDA bado,iambatanishe na hiyo form yako.
Ushauri potofu huu .Mimi mwaka jana nimemfanyia mtu kwenye NIDA kaacha wazi na kapata fresh tu kwani suala la NIDA ni changamoto la nchi nzima.
 
Ushauri potofu huu .Mimi mwaka jana nimemfanyia mtu kwenye NIDA kaacha wazi na kapata fresh tu kwani suala la NIDA ni changamoto la nchi nzima.
Sasa hapo nimepotosha nini?
 
Hayo maelezo yako kama unafanya hivyo ulivyomuelekeza mtoa nada umetoa katika chanzo kipi(source)?
Umesoma nilichokiandika vizuri in relation to what mleta mada has asked?
 
Back
Top Bottom