Ninavyojua ni vyote ila sio lazima kama mtu hana hivyo anaacha tu ,na kama mtu ana namba bila kadi inashauriwa bora aache tu.Kwan pale inahitajika kadi au namba ya NIDA tu
Aisee [emoji28][emoji28]Andika number ya NIDA kwenye kikaratasi then waandikie kuwa hujapata kadi ya NIDA bado,iambatanishe na hiyo form yako.
Ushauri potofu huu .Mimi mwaka jana nimemfanyia mtu kwenye NIDA kaacha wazi na kapata fresh tu kwani suala la NIDA ni changamoto la nchi nzima.Andika number ya NIDA kwenye kikaratasi then waandikie kuwa hujapata kadi ya NIDA bado,iambatanishe na hiyo form yako.
Sasa hapo nimepotosha nini?Ushauri potofu huu .Mimi mwaka jana nimemfanyia mtu kwenye NIDA kaacha wazi na kapata fresh tu kwani suala la NIDA ni changamoto la nchi nzima.
Hayo maelezo yako kama unafanya hivyo ulivyomuelekeza mtoa nada umetoa katika chanzo kipi(source)?Sasa hapo nimepotosha nini?
Umesoma nilichokiandika vizuri in relation to what mleta mada has asked?Hayo maelezo yako kama unafanya hivyo ulivyomuelekeza mtoa nada umetoa katika chanzo kipi(source)?