Hivi hawa loan board wanataka tufe njaa au? ni week ya pili Sasa tupo Field mikoani huku hawajatupa pesa ya kutumia, Kama kuna wadau Wa loan board humu ndani jaman watu wanakufa njaa huku mikoani, mtupe pesa zetu asee...watu tunashindia chapati na maji nchi hii mbona haiwajali wasomi Wake asee...