Loan Board na pesa za field UDSM.

Loan Board na pesa za field UDSM.

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
71
Reaction score
15
Hivi hawa loan board wanataka tufe njaa au? ni week ya pili Sasa tupo Field mikoani huku hawajatupa pesa ya kutumia, Kama kuna wadau Wa loan board humu ndani jaman watu wanakufa njaa huku mikoani, mtupe pesa zetu asee...watu tunashindia chapati na maji nchi hii mbona haiwajali wasomi Wake asee...
 
Poleni wazee kilio chenu kimesikika ,ndio maana mkipata kazi mnakuwa mafisadi wanawafundisha wenyewe.
 
nilikuwa pale mwezi umepita sijapata toka march hadi leo jibu niliambiwa pesa zipo hazina,hiyo hazina cjui ya wachache?
 
Udom ndo wamepata na ni college moja tu ya earth sciences(applied geology,geoinformatics,mining,mineral and petroleum engineering)
 
Back
Top Bottom