Mambo ya Board na TCU weka kwanza kando, embu tuongee kuhusu hiyo mboga kwenye Avator yako, ina uhusiano wowote na vile ulivyo?WanaJF:1. Loan Board wanatoza sh 30,000/- (non refundable) kwa kila mwombaji. Waliohitimu F6 2014, wote takribani waliomba huku wakisubilia majibu ya mtihani wao wa mwisho;2. TCU hivi sasa wanatoza sh 50,000/- (non-refundable) kwa kila mwombaji wa chuo kuanzia Diploma hadi Degree. Hivi, kweli kiasi hichi ni sawa? Fedha hizi zinaenda wapi??? Isije ikawa ni miradi ya watuBinafsi, ninadhani kuna haja ya kuweka viwango angalau sh. 10,000 au hata sh 15,000/- kwa TCU na Loan Board, ukizingatia kila kitu kipo mtandaoni. Ninawasilisha
Mambo ya Board na TCU weka kwanza kando, embu tuongee kuhusu hiyo mboga kwenye Avator yako, ina uhusiano wowote na vile ulivyo?
Mambo ya Board na TCU weka kwanza kando, embu tuongee kuhusu hiyo mboga kwenye Avator yako, ina uhusiano wowote na vile ulivyo?
WanaJF:1. Loan Board wanatoza sh 30,000/- (non refundable) kwa kila mwombaji. Waliohitimu F6 2014, wote takribani waliomba huku wakisubilia majibu ya mtihani wao wa mwisho;2. TCU hivi sasa wanatoza sh 50,000/- (non-refundable) kwa kila mwombaji wa chuo kuanzia Diploma hadi Degree. Hivi, kweli kiasi hichi ni sawa? Fedha hizi zinaenda wapi??? Isije ikawa ni miradi ya watuBinafsi, ninadhani kuna haja ya kuweka viwango angalau sh. 10,000 au hata sh 15,000/- kwa TCU na Loan Board, ukizingatia kila kitu kipo mtandaoni. Ninawasilisha
Particularly hiyo mboga aliyobeba hapo back stairs!ama kweli jf inaburudisha. shem yakuza ukiwa member na hasa mchangiaji jukwaa la siasa basi jaribu kuwa kisiasa zaidi. watu wakiangalia avatar yako wanajihisi wako kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano. simulaumu daviey69 hata kidogo kwa alichochangia maana hata mimi kabla ya kuanza kusoma post yako nilijikuta attention yangu ikiwa zaidi kwenye avatar yako kuliko content husika. ndo tatizo hasa ukiwa mwanaume rijali.
picture say more than words.