Yakuza
Senior Member
- May 22, 2011
- 114
- 43
WanaJF:1. Loan Board wanatoza sh 30,000/- (non refundable) kwa kila mwombaji. Waliohitimu F6 2014, wote takribani waliomba huku wakisubilia majibu ya mtihani wao wa mwisho;2. TCU hivi sasa wanatoza sh 50,000/- (non-refundable) kwa kila mwombaji wa chuo kuanzia Diploma hadi Degree. Hivi, kweli kiasi hichi ni sawa? Fedha hizi zinaenda wapi??? Isije ikawa ni miradi ya watuBinafsi, ninadhani kuna haja ya kuweka viwango angalau sh. 10,000 au hata sh 15,000/- kwa TCU na Loan Board, ukizingatia kila kitu kipo mtandaoni. Ninawasilisha