mr. over view
Member
- Jan 3, 2014
- 14
- 0
Wanachuo wa jordan university wametangaziwa hali ya hatari kwa kuitiwa askari wa kutuliza fujo FFU kuzunguka maeneo ya chuo kila wakati.
Hii nibaada ya kuzuka kwa tetesi kwamba wanataka kuandamana kutokana na kukosa pesa za kujikimu kutoka loan board.
Ni ushauri wangu kwa bodi ya mikopo kufanya hima kuwapatia haki zao kwani wanateseka.