Loan board yatoa loan breakdown

Loan board yatoa loan breakdown

Status
Not open for further replies.

Lepapalongo

Member
Joined
Jan 28, 2009
Posts
92
Reaction score
11
Ingia website ya bodi kuna loan breakdown kwa tatol amount uliyopewa b4.Ni mchanganuo mzima wa hiyo pesa.

Mbona siwaelewi wanamaanisha mikopo mipya kwa waliokua wamekosa ama?

Duh, asante xana mkuu, now tumejua wameipanga vp pesa ya mkopo.

mnaofurahia, msiwe wabinafisi, kuna watoto wa maskini hawajapata mikopo, kuwatosa mfikapo chuoni nanyi mtakuwa wasaliti. Lazima kuwe na collective burgeining kwa wanazuoni wote

mnaofurahia, msiwe wabinafisi, kuna watoto wa maskini hawajapata mikopo, kuwatosa mfikapo chuoni nanyi mtakuwa wasaliti. Lazima kuwe na collective burgeining kwa wanazuoni wote

Mbona siwaelewi wanamaanisha mikopo mipya kwa waliokua wamekosa ama?

Kijana ni majina yaleyale waliopata hakuna mapya ila wameyabreak just open ur college then tafuta jina lako!

Si breakdown 2 pia wametoa na majina ya waliojosa na sababu za kukosa kwao mikopo.KINGINE ARU NA DUCE HAVIONEKANI KWENye list

jamani thanx kwa taarifa,naombeni mnisaidie,je ambao hawajapewa fungu la FIELD,ndo hawapewi kabisa au ni kwamba vyuo vyao hamna field first year?

Jaman naomba mnicheki CHRISTOPHER NTANDU (ARDHI.burchelor of arts in economics)kwa nin nimekosa mkopo.MSAADA NIPO SEHEM MBAYA NO INTERNET CAFE

burchelor ndio nini mkuu sijakupata kabisa..

Jaman naomba mnicheki CHRISTOPHER NTANDU (ARDHI.burchelor of arts in economics)kwa nin nimekosa mkopo.MSAADA NIPO SEHEM MBAYA NO INTERNET CAFE

nyie ndo mliiba form za bodi.

Nimecheki jina la mdogo wangu na wenzie kadhaa wa Microbiology waliokosa mkopo waliochaguliwa udsm sijawaona nimeangalia vifungu vyote mwanzo mwisho sijaona majina yao.hii inanipa faraja kwamba kuna listi nyingine itatoka hivi karibuni.,nadhani itajumuishwa na wale watu elfu nne wa second round application sababu haitawezekana watu elfu nne wote wakose mkopo itakua balaa...fedha ipo,,,let's wait two weeks walizopewa bodi kuhakikisha wote waliokosa wakati wana vigezo....nimefarijika kidogo

jipe moyo, wa 2nd round jamaa wa bodi alisema wasahau kabisa, ela ilishakishwa.

Nimecheki jina la mdogo wangu na wenzie kadhaa wa Microbiology waliokosa mkopo waliochaguliwa udsm sijawaona nimeangalia vifungu vyote mwanzo mwisho sijaona majina yao.hii inanipa faraja kwamba kuna listi nyingine itatoka hivi karibuni.,nadhani itajumuishwa na wale watu elfu nne wa second round application sababu haitawezekana watu elfu nne wote wakose mkopo itakua balaa...fedha ipo,,,let's wait two weeks walizopewa bodi kuhakikisha wote waliokosa wakati wana vigezo....nimefarijika kidogo

jipe moyo 2.

Hiv hayo majina applicants wa second round na wale walofanya re-selection of programs yatatoka lini?naomba kujuzwa.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom