Loan board

kambenga1

Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
41
Reaction score
0
baadhi ya vyuo vimetoa
majina ya waliochaguliwa
kujiunga na vyuo husika.
nimeona vyuo kama CBE
na MOUNT MERU" vipi
kuhusu LOAN BOARD?
 
Hakuna jipya mkuu labda baada ya tarehe ya mwisho ya hawa wanaohitajika kukamilisha taarifa muhimu ndio tutegeme habari mpya.
 
No newz,mpaka sasa,labda nafikili baada tarehe 30,mwezi huu,watatoa,au kunachochote chaweza tokea.:kev:
 
punguza presha kilakiku mwez wa 9 hakikisha haupo kwenye watu waliokosea kujanza mambo mazuri yanakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…