K kambenga1 Member Joined Mar 23, 2013 Posts 41 Reaction score 0 Aug 22, 2013 #1 baadhi ya vyuo vimetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo husika. nimeona vyuo kama CBE na MOUNT MERU" vipi kuhusu LOAN BOARD?
baadhi ya vyuo vimetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo husika. nimeona vyuo kama CBE na MOUNT MERU" vipi kuhusu LOAN BOARD?
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Aug 22, 2013 #2 Wametoa majina ya walikosea kujaza form.
K kambenga1 Member Joined Mar 23, 2013 Posts 41 Reaction score 0 Aug 22, 2013 Thread starter #3 Molembe said: Wametoa majina ya walikosea kujaza form. Click to expand... Sitangu tarehe 16 Ago! hamna new yoyote mpya till now?
Molembe said: Wametoa majina ya walikosea kujaza form. Click to expand... Sitangu tarehe 16 Ago! hamna new yoyote mpya till now?
Chief Wingia JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 2,653 Reaction score 4,744 Aug 22, 2013 #4 Hakuna jipya mkuu labda baada ya tarehe ya mwisho ya hawa wanaohitajika kukamilisha taarifa muhimu ndio tutegeme habari mpya.
Hakuna jipya mkuu labda baada ya tarehe ya mwisho ya hawa wanaohitajika kukamilisha taarifa muhimu ndio tutegeme habari mpya.
K kambenga1 Member Joined Mar 23, 2013 Posts 41 Reaction score 0 Aug 22, 2013 Thread starter #5 ok' thanks chief!
K KG.KASELO JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 252 Reaction score 20 Aug 22, 2013 #6 No newz,mpaka sasa,labda nafikili baada tarehe 30,mwezi huu,watatoa,au kunachochote chaweza tokea.:kev:
No newz,mpaka sasa,labda nafikili baada tarehe 30,mwezi huu,watatoa,au kunachochote chaweza tokea.:kev:
M mustafa the don Member Joined Aug 20, 2013 Posts 13 Reaction score 0 Aug 22, 2013 #7 wanasubir wa2 wa 3d round apllctn then tcu wanatoa majina kwa ujumla then heslb iafuata
J jorojo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 1,642 Reaction score 11 Aug 22, 2013 #8 punguza presha kilakiku mwez wa 9 hakikisha haupo kwenye watu waliokosea kujanza mambo mazuri yanakuja
punguza presha kilakiku mwez wa 9 hakikisha haupo kwenye watu waliokosea kujanza mambo mazuri yanakuja