Sorry jamani eti form six wameanza kuomba mikopo? na kama ndivyo hiyo form inapatikana wapi? NATANGULIZA SHUKRANI
Sorry jamani eti form six wameanza kuomba mikopo? na kama ndivyo hiyo form inapatikana wapi? NATANGULIZA SHUKRANI
Wapendwa naomba tusaidiane vile viambatanishi muhimu wakati wa kuaaply mkopo ili iwe rahisi nisije nikakosea
Ukishamaliza kujaza kila kitu kinachotakiwa kitakuja,yan form nzma ya taarifa zako na form za serikali za mtaa na mahakaman pamoja na viambatanishiWapendwa naomba tusaidiane vile viambatanishi muhimu wakati wa kuaaply mkopo ili iwe rahisi nisije nikakosea