Loan board

Loan board

sterida

New Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Sorry jamani eti form six wameanza kuomba mikopo? na kama ndivyo hiyo form inapatikana wapi? NATANGULIZA SHUKRANI
 
Yeah. .application for loans Inatuhusu pia form 6 leavers wa mwaka huu and so hakikisha kabla ya 30 June ushamaliza application for loan issue
 
Wapendwa naomba tusaidiane vile viambatanishi muhimu wakati wa kuaaply mkopo ili iwe rahisi nisije nikakosea
 
Wapendwa naomba tusaidiane vile viambatanishi muhimu wakati wa kuaaply mkopo ili iwe rahisi nisije nikakosea

Kupita mahakamani kwa katibu kata balozi etc then cheti cha kifo cha mzazi kama una mzazi amefariki form 4 academic certificate
 
Wapendwa naomba tusaidiane vile viambatanishi muhimu wakati wa kuaaply mkopo ili iwe rahisi nisije nikakosea
Ukishamaliza kujaza kila kitu kinachotakiwa kitakuja,yan form nzma ya taarifa zako na form za serikali za mtaa na mahakaman pamoja na viambatanishi
 
Back
Top Bottom