Nafikiri tunahitaji mjadala wa pamoja na viongozi wa wizara ya elimu,, Viongozi wa Bodi,, waziri wa Kazi, Wabunge wachache wawakilishi hasa hasa vijana mfano wa Tunduma ambaye waligomea Sana pale ud kipindi cha nyuma,watu wa Fcc,,na mashirikisho ya wafanyakazi kuhusu hilo hasa retention fee mengi letu ni kujadili kwa uwazi na upana na serikali wapokee maoni ya wadau,,just mawazo yangu tuMimi nimeshaandika humu mapungufu na uozo mkubwa wa HESLB katika calculations zao....