Nafikiri tunahitaji mjadala wa pamoja na viongozi wa wizara ya elimu,, Viongozi wa Bodi,, waziri wa Kazi, Wabunge wachache wawakilishi hasa hasa vijana mfano wa Tunduma ambaye waligomea Sana pale ud kipindi cha nyuma,watu wa Fcc,,na mashirikisho ya wafanyakazi kuhusu hilo hasa retention fee mengi letu ni kujadili kwa uwazi na upana na serikali wapokee maoni ya wadau,,just mawazo yangu tuMimi nimeshaandika humu mapungufu na uozo mkubwa wa HESLB katika calculations zao....
Basi itakuwa ni wazembe, inabidi watumbuliweMakosa kila siku huko HESLB, Nenda kwenye mayawi yao ya kanda then uanalyse makosa ya watu utakaowakuta
Ni Uzembe tu
Sasa hapa wananchi wamelala usingizi wa pono.. ngoja dawa iwaangie vizuriTaifa linakusanya kodi kutoka kwa wananchi kisha inawakopesha kodi hizo hizo kuwasomesha wananchi halafu inawadai na riba kubwa.. yaani pesa zako mwenyewe unakopeshwa
Huna TIN number?Jamaa deni lake kama taasisi kubwa inadaiwa, so sad!
Body ya mikopo hainipati ng'o...natamba nimesoma bure sirudishi hata senti.
Tupeleke malumbano ya hoja ITVNafikiri tunahitaji mjadala wa pamoja na viongozi wa wizara ya elimu,, Viongozi wa Bodi,, waziri wa Kazi, Wabunge wachache wawakilishi hasa hasa vijana mfano wa Tunduma ambaye waligomea Sana pale ud kipindi cha nyuma,watu wa Fcc,,na mashirikisho ya wafanyakazi kuhusu hilo hasa retention fee mengi letu ni kujadili kwa uwazi na upana na serikali wapokee maoni ya wadau,,just mawazo yangu tu
Walishakanusha wakasema kuwa figures zinazoandikwa kwenye salary slip si za kwao.Mods kwa heshima zote, naomba hii mada ijadiliwe kwenye jukwaa hili la siasa japo inahusiana na elimu..
Ninayo. Situmii jina nililotumia chuo., Limebadilika kabisa majina yoteHuna TIN number?
Walishakanusha wakasema kuwa figures zinazoandikwa kwenye salary slip si za kwao.
Waajiri wanajiwekea figure tu ila ukitaka kujua kiasi halisi cha deni wasiliana nao
Ningependa kufahamu imekuaje ikafika 48bil, ni yeye tu au kuna wengine pia.
Hiyo mbaya sana, ni bora aache hiyo 4,5 ya kwenye salary slip amalize deni taratibu. Nadhani calculator yao Ina tatizoNi wengi sana...
Kuna mmoja yeye kwenye Risiti ya mshahara (Salary Slip) deni lililosalia linasomeka Tshs. 4,500,000...
the-palm-treeHESLB wametoa ufafanuziView attachment 1673861
Mbona hapa sioni ufafanuzi wa mtu kudaiwa shs 47 billion?HESLB wametoa ufafanuziView attachment 1673861
Mbona hapa sioni ufafanuzi wa mtu kudaiwa shs 47 billion?