Loan required from a financial Institue or Individual

Loan required from a financial Institue or Individual

Huna haja yakuhangaika ndugu.fika finca microfinance ongea na afisa mikopo hata ikibidi personal.uwe na mpango kazi wa kiasi unachohitaji.hadi 30 watakupa.kama unabiashara nyingine ulidhakuwa unaifanya hadi milioni 150 wanakupatia hapo hapo branch.
 
Maelezo yanaonyesha jamaa anataka mkopo kumalizia biashara ambayo bado haijaanza. Kwa uzoefu mdogo niliokuanao ni vigumu kupata mkopo-seed capital Kwa biashara ambayo haijaanza na hapo ndo tatizo kubwa sana Kwa nchi yetu. Hata hao Finca hawatoi mkopo Kwa biashara zisizoanza, kama kuna yeyote mwenye taarifa tofaut atujuze.
 
Lakini Kiwanja cha Square mita 1111 ni kidogo sana na sijajua kipo sehemu gani? Kama Kinondoni poa tuu ila kama Chamazi ni valueless kumbuka Financial institution hazitaki kupata hasara kwa 21M watahitaji eneo kubwa zaidi
 
Hallo,

Kiwanja kiko Ilala Buyuni!?
Mbele kidogo ya Pugu Kinyamwezi,
Kwenye Mradi wa Viwanja 20,000
Ndani ya Mradi wa Nyumba 400 za PSPF,


Pia kama nilivyosema awali, Dhamana yaweza kuongezeka.

Karibuni
 
Back
Top Bottom