Display Name
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 423
- 451
Hiki kipindi cha Karantini tunashudia mengi jamani. Huko Italia kuna mwanaume mwenye asili ya Afrika amepiga simu polisi kuomba msaada wa kuondolewa nyumbani ili amuepuke mpenzi wake mwenye uraibu wa ngono (sex addict)
Unaambiwa mwanamke huyo amekuwa akitaka kufanya tendo kila mara kitu ambacho kimemchosha mwanaume akaona cha kufia nini bora polisi wahusike tu hamna namna.
Hata baada ya polisi kufika eneo la tukio baado bidada alikuwa anaendelea kumsisitiza kaka waende wakafanye tendo.
Sasa mimi nipo na swali kwa wanaume wa hapa JF ambao kutwa kujinadi wao wapo vizuri, je mtiti huu mtauweza?