Lockdown imezua mambo: Jamaa aita polisi wamuokoe toka kwa mpenziye anayetaka tendo kila muda

Lockdown imezua mambo: Jamaa aita polisi wamuokoe toka kwa mpenziye anayetaka tendo kila muda

Ntakuja mwisho wa wiki tarehe 16, nipe lokesheni tuu, nnavopenda mpunga... Niandalie jiko nakuja kuupika mwenyeweee ahahahahaaa.
Kuhusu jiko usiwaze lipo had la kuni ila sipati picha iyo siku itakuaje hayo madiko diko utakavyo yaandaa.Nakuandalia kabsa na zawad ya gunia la mchele karbuuu
 
Kuhusu jiko usiwaze lipo had la kuni ila sipati picha iyo siku itakuaje hayo madiko diko utakavyo yaandaa.Nakuandalia kabsa na zawad ya gunia la mchele karbuuu

Senkyuuu hapo umenikamata najaa fastaaa..
 
Kumbuka, mpania maji hayanywi...

Hata akiyanywa hamalizi glass.... ehehehehehe

Sio maneno yangu bali ya wahenga.
Duuuh kweli mpania maji hayanywi...ila siyo siri naomba isiwe ivyo.kuhusu usalama usijari ntakulinda
 
Duuuh kweli mpania maji hayanywi...ila siyo siri naomba isiwe ivyo.kuhusu usalama usijari ntakulinda

Hakuna Matata, imarisha ulinzi tuu kibibi mie nisijepata Koronya bureee nikaanza kupiga nyungu badala ya kula ubwabwa aka ubeche...
 
Ningalikua mimi ningejifanya nimepata simu ya msiba ili nipate likizo ya wiki moja...ila kupigia polisi ni zaidi ya kushindwa....
 
Aisee hizi bahati hazitupati wakulungwa huyu ningesugua hadi nimchubue mwenyewe angetulia namlia na karanga mbichi haki ya nani kweli upele haumpati mwenye kucha
 
Hiki kipindi cha Karantini tunashudia mengi jamani. Huko Italia kuna mwanaume mwenye asili ya Afrika amepiga simu polisi kuomba msaada wa kuondolewa nyumbani ili amuepuke mpenzi wake mwenye uraibu wa ngono (sex addict)

View attachment 1443635

Unaambiwa mwanamke huyo amekuwa akitaka kufanya tendo kila mara kitu ambacho kimemchosha mwanaume akaona cha kufia nini bora polisi wahusike tu hamna namna.

Hata baada ya polisi kufika eneo la tukio baado bidada alikuwa anaendelea kumsisitiza kaka waende wakafanye tendo.

Sasa mimi nipo na swali kwa wanaume wa hapa JF ambao kutwa kujinadi wao wapo vizuri, je mtiti huu mtauweza?
WAPO WALE WILD FUCKING MAN! DADA ZAKO WANAWAJUA
 
Back
Top Bottom