Lockdown imezua mambo: Jamaa aita polisi wamuokoe toka kwa mpenziye anayetaka tendo kila muda

Lockdown imezua mambo: Jamaa aita polisi wamuokoe toka kwa mpenziye anayetaka tendo kila muda

Kampata mnyonge huyo, angekutana na baharia kichwa ngumu kama Ziro IQ Angepigwa pumbu kwenye matobo yote kisha angenywishwa na kumwagiwa gundi mwili mzima, yeye mwenyewe angetorokea bafuni kama si kibaraza cha uani..
Hiki kipindi cha Karantini tunashudia mengi jamani. Huko Italia kuna mwanaume mwenye asili ya Afrika amepiga simu polisi kuomba msaada wa kuondolewa nyumbani ili amuepuke mpenzi wake mwenye uraibu wa ngono (sex addict)

View attachment 1443635

Unaambiwa mwanamke huyo amekuwa akitaka kufanya tendo kila mara kitu ambacho kimemchosha mwanaume akaona cha kufia nini bora polisi wahusike tu hamna namna.

Hata baada ya polisi kufika eneo la tukio baado bidada alikuwa anaendelea kumsisitiza kaka waende wakafanye tendo.

Sasa mimi nipo na swali kwa wanaume wa hapa JF ambao kutwa kujinadi wao wapo vizuri, je mtiti huu mtauweza?
 
[emoji23][emoji23] Sasa unakuta mwana dose yake ni 2 tu yani asubuhi 2, mchana 2, usiku 2 kwa mzunguko kama huu tu kwa siku 30 sio mchezo mzee wangu lazima uitepolisi au hata fire kikosi cha uwokoaji kije tu kwa msaada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usicheze na ule mpila wa ke.
2×3 [emoji23][emoji23] hapo unaweza ukaishiwa maji mwilini

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
6x30 =180 ushindi huu unazani ni mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha akimbie tu.
Kuna jamaa yangu alienda kwa demu wake, akakaa huko wiki alivyorudi bhna alikua hafai. Alipata dehydration ikabidi awekewe drip ya maji [emoji23][emoji23] alikaa ndani wiki hatoki nje . Ile kitu inaweza kukuua ukifanya sifa.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Kuna jamaa yangu alienda kwa demu wake, akakaa huko wiki alivyorudi bhna alikua hafai. Alipata dehydration ikabidi awekewe drip ya maji [emoji23][emoji23] alikaa ndani wiki hatoki nje . Ile kitu inaweza kukuua ukifanya sifa.

Sent From Galaxy S20 Ultra
Dehydration [emoji15] alifanya chakula nn?
 
Hili tukio angekuwa kalifanya mwanaume dunia yote ingesimama na kumrushia kila lililobaya ila kwa sababu limefanywa na mwanamke linaonekana kama utani vile.

Ila baharia katuangusha sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu hyo jamaa siyo mjinga atakufa halafu upande mwingine its just like slave sex ana spend nguvukubwa kumfiksha mwanmke type hyo pasipo na support ya tools nyingne sio mchechzo mchzo ,,ilibid akutane na wakina mudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ugonjwa unaitwa BUPU watu walioishi pwani kina Mshana Jr wanaujua vizuri. Yaani utakuta demu anapigwa hadi mtungo na anafurahia wapigaji ndio mnachoka.

Niliwahi kuwa na kitoto kimoja Enzi za ujana kilikuwa na BUPU yaani mkiingia gheto kutomb.ana asubuhi kutoka jioni mpk masela wakawa hawanipi magheto yao. Yaani kuna kipindi tulikuwa tunatiana mpk unajihisi kuumwa ila kabinti kapo tu na ukimwambia tupumzike kanasema kwani tumekuja kuangaliana humu

Nilikuja kuchemsha baadae maana ilifikia kipindi unachoka kukawasha ukipumzika kanaanza kujichua na vidole nikaona isiwe tabu kataniua bure
😂😂😂😂😂😂duh hataree
 
Back
Top Bottom