Lockdown yazidi kuleta hasira Kenya

Lockdown yazidi kuleta hasira Kenya

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
32,246
Reaction score
31,176
Joto la jiwe linazidi kuwa moto huko kwa manyang'au hadi uvumilivu unaanza kuwashinda. Yaani wanasiasa wanawala jamaa hivi hivi huku hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wasiojua mbele wala nyuma. Eti ni kwa sababu ya vita dhidi ya corona.
 
Malipo ya nini wakati wameambiwa wakae nyumbani?
Tanzania imeweza kulipa walimu mishahara kwa miezi mitatu bila kufanya kazi na hatukuchukua corona loan
Wanaonekana Ni vibarua
 
Wakenya kipindi hiki cha corona wanahali mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom