Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Joto la jiwe linazidi kuwa moto huko kwa manyang'au hadi uvumilivu unaanza kuwashinda. Yaani wanasiasa wanawala jamaa hivi hivi huku hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wasiojua mbele wala nyuma. Eti ni kwa sababu ya vita dhidi ya corona.