Locked iPhone 4s

Locked iPhone 4s

Timoso

Senior Member
Joined
May 27, 2012
Posts
135
Reaction score
23
Iphone 4s (white) locked with sprint usa
Internal 16 GB
Price 400,000 ths
Kama mpya vile no scratches
Contacts: 0654867115
 
iphone 4s ni world phone wakuu which means inasupport gsm na Cdma so ukiunlock unaweka line yyte
 
Inaweza kuwa ni ya sprint na ikawa GSM, lakini kui-unlock tu hiyo simu ni Dollar 220 + na hiyo laki nne unayoitaka ni bora niinunue hapa hapa bongo iliyo unlocked. Bado sina uhakika kama ESN yake ni clean, nisije nunua ikabuma kuwa unlocked pia. Ko ni hayo tu boss!
Iphone 4s (white) locked with sprint usa
Internal 16 GB
Price 400,000 ths
Kama mpya vile no scratches
Contacts: 0654867115

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
kama unahitaji unaweza kuwasiliana na mimi sio iphone tu nina uwezo wa ku unlock simu ya aina yeyote
 
iphone 4s ni world phone wakuu which means inasupport gsm na Cdma so ukiunlock unaweka line yyte

Kweli ni world wide likini inategemea imefungwa kwa mtandao gani, GSM haina maneno kama ina clean ESN, lakini kama ni CDMA kibongobongo utata mtupu, bora uifanye ipod tu! BTW, kama una uhakika inafunguka nakushauri uifungue kwanza ndiyouiweke sokoni!...La sivyo kula 150K nimnunulie mwanangu ipod! Kma vipi tupia IMEI yake hapa tuone.
 
uko vizuri
 
Back
Top Bottom