Lodge au Hotel Dar es salaam

Lodge au Hotel Dar es salaam

Dar Lodge zipo kila mahali na zote zimejificha ni swala la we kupanda gari au boda shuka popote itafute unaipata halafu hiyo budget kubwa sana za 30000 ziko poa ila jua tu dar hakimbiwi mtu hapo unapoenda kujificha utamkuta wife wako nae kajificha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu habari!

Kama mnavyoiona hali ya Hewa hii, naomba nifahamishwe lodge au Hotel yoyote nzuri Dar ila iwe imejificha ficha kidogo.

Iwe maeneo ya Dar tu.

Budget yangu 50,000 to 70,000.
Sasa unajificha huku unaulizia mitandaoni ?? Jaribu kuwa serious mkuu lodge na hotel kila mahali zipo mpaka bubu zipo ww tu
 
BML Hotel magomeni - 40,000 na kuendelea
 
Najua zipo ila kuna yale machimbo adimu, mtu wa kawaida kujua kama maeneo haya kuna hotel au lodge ni ngumu na ndo ninazoulizia

MachimBo Adimu Ndio yepi mkuu, fafanua, na mie nataka lodge za Mbezi mwisho.
 
Back
Top Bottom