Dah! Kuna siku niliingia saa tisa usiku, na mhudumu bila hiyana akanipiga bei kamili.Husika hapo juu, mathalani nimeingia lodge usiku wa saa 8 hivi, je kisheria natakiwa kutoka baada ya masaa mangapi!?
Wazee wa totoz hawa wenye lodge nahisi wanatuonea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitaa ya Sinza siyo? Hilo gofu si unaambulia makelele ya daladala tu hapo? Bora ungesogea mbele kidogo kwenda kujificha Brunei.
Mitaa ya Sinza siyo? Hilo gofu si unaambulia makelele ya daladala tu hapo? Bora ungesogea mbele kidogo kwenda kujificha Brunei.
Hii siyo ya pale Sinza karibu na Mugabe Primary School na City Styles?Haina daladala hiyo njia [mtaa wa Nzasa].
Pako kimya sana hapo.
Hii siyo ya pale Sinza karibu na Mugabe Primary School na City Styles?
Ha ha misosi unaagiza kwa order tu wanakupikia,Hivi bado ni Tsh 20000 au imepanda?Hapana.
Hapo ni karibu na flats za CRDB za zamani ambazo baadaye zilikuja kugeuzwa Kuwa dormitories za UDSM. Ukiwa kwenye hiyo barabara ukipanda juu kidogo unatokezea Meeda.
Ukishuka chini unatokea kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God pale Mwenge na spitali ile ya Mama Ngoma.
Shule ya msingi iliyo karibu maeneo hayo ni Mapambano.
Daladala hazipiti kabisa hapo.
Ha ha misosi unaagiza kwa order tu wanakupikia,Hivi bado ni Tsh 20000 au imepanda?
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyDuh!
Ushawahi kwenda kula mzigo nini hapo?
Manake hiyo loji ni maarufu kwa hilo tu.
Duh!
Ushawahi kwenda kula mzigo nini hapo?
Manake hiyo loji ni maarufu kwa hilo tu.
Unazini?
Got you.Hapana.
Hapo ni karibu na flats za CRDB za zamani ambazo baadaye zilikuja kugeuzwa Kuwa dormitories za UDSM. Ukiwa kwenye hiyo barabara ukipanda juu kidogo unatokezea Meeda.
Ukishuka chini unatokea kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God pale Mwenge na spitali ile ya Mama Ngoma.
Shule ya msingi iliyo karibu maeneo hayo ni Mapambano.
Daladala hazipiti kabisa hapo.
Ina maana mtu amiliki Lodge ashindwe hata kumiliki CCTV camera!huu si ulofa uliotukuka!Mkuu Nyani biashara ya loji wateja wakubwa huwa ni wazinzifu tu sio wageni. Ndio maana loji nyingi zinajaa mchana halafu usiku zinakua tupu.
Back to topic, wahudumu hua wanachaji full package ili wapige hiyo hela. Ukiwa unamiliki loji kama hauko makini wahudumu wanapiga sana hela za wateja wanaoingia mchana na kutoka jioni kisha wanasafisha room vizuri ukija unaambiwa leo hakuna kitu.. Ndio maana loji nyingi ukiingia saa nne ukakomaa mpaka kesho yake unanuniwa balaa [emoji3]
Got you.
Nimeshaikumbuka ukitokea Meeda kwenda Mwenge unapita kuna Bar fulani miaka ya 80 ilikua inaitwa Matokeo Bar.
Ndio moja ya umakini ninaozungumzia. loji nyingi za mtaani hazina cctv wala niniIna maana mtu amiliki Lodge ashindwe hata kumiliki CCTV camera!huu si ulofa uliotukuka!
Sent by Diaspora
Ndio moja ya umakini ninaozungumzia. loji nyingi za mtaani hazina cctv wala nini